BAKWATA wafanya ufisadi mwengine

crabat

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
4,322
2,203
Bakwata Taasisi kuu ya kufisidi mali na maendeleo ya waislam imefanya ufisadi mwengine mkubwa kwa kuuza kwa ufisadi kiwanja kilichopo kona ya Bibi Titi na Morogoro.

Kiwanja hicho ameuziwa mgeni msomali wa Ramada kujenga Mall bila ya fedha hizo kuwanufaisha waislam na taasisi zao. Wizi huu wa mali za waislam unafanywa huku serikali ikizuia muislam yoyote kuihoji taasisi hii juu ya ubadhirifu.

Itakumbukwa Sheikh Ponda yupo ndani chanzo kikiwa kujaribu kuzuia wezi hawa wa BAKWATA kupora na kuuza viwanja vya waislam Temeke. Mpaka leo yupo ndani hii ikimaanisha serikali ina mkono wake kuona taasisi hii inakuwa na watu wasio kuwa waadilifu.

Kulikuwa na kamati iliyojiita ya kutetea mali za waislam iliokuwa ikio ngizwa na Mattaka mara hii hawakupiga kelele kwani nao wamewekwa sawa na mgao.

Sasa hivi BAKWATA wameuza mali zote karibu walizo rithi kutoka EAMWS kwa kupewa ili wazitumie kwa ajili ya umma wa kiislam lakini wameuza zote na kutumia fedha hizo wao wenyewe.

Kuna majumba maeneo yote ya jiji yalio tolewa na waislam na yote wameuza. Taasisi hii ina watu wa ajabu kabisa wengi hawana hata elimu ya kiislam wala desturi na hulka za kiislam.

Kiwanja hichi wameuza kwa Msomali huyo ambaye anajenga Mall na ameanza kuuza maduka yaliomo humo kwa faida yake.

Hili dubwana BAKWATA ni tatizo kubwa juu ya mali zite hizi shule zao zipo taabani ki elimu na zinazidi kuporomoka na Shehe Simba apiga pilau wala habari hiyo haimkeri, inamhusu nini? Kuna fans wa BAKWATA kina Abou Iddi nao kimyaa ukiwauliza wanakukejeli.

Waislam kuna haja kubwa ya kulikamata BAKWATA na kuweka watu waadilifu watakaoleta maendeleo kwa waislam japo tumechelewa kwani hawa jamaa wameuza kila kitu.
 
Bakwata Taasisi kuu ya kufisidi mali na maendeleo ya waislam imefanya ufisadi mwengine mkubwa kwa kuuza kwa ufisadi kiwanja kilichopo kona ya bibi titi na morogoro.
Kiwanja hicho ameuziwa mgeni msomali wa Ramada kujenga Mall bila ya fedha hizo kuwanufaisha waislam na taasisi zao. Wizi huu wa mali za waislam unafanywa huku serikali ikizuia muislam yoyote kuihoji taasisi hii juu ya ubsdhirifu.
Itakumbukwa Sheikh Ponda yupo ndani chanzo kikiwa kujaribu kuzuia wezi hawa wa Bakwata kupora na kuuza viwanja vya waislam Temeke.Mpaka leo yupo ndani hii ikimaanisha serikali ina mkono wake kuona taasisi hii inakuwa na watu wasio kuwa waadilifu.

Kulikuwa na kamati iliyojiita ya kutetea mali za waislam iliokuwa ikio ngizwa na Mattaka mara hii hawakupiga kelele kwani nao wamewedkwa sawa na mgao.
Sasa hivi Bakwata wameuza mali zote karibu walizo rithi kutoka EAMWS kwa kupewa ili wazitumie kwa ajili ya umma wa kiislam lakini wameuza zote na kutumia fedha hizo wao wenyewe.
Kuna majumba maeneo yote ya jiji yalio tolewa na waislam na yote wame uza .
Taasisi hii ina watu wa ajab kabisa wengi hawana hata elimu ya kiislam wala desturi na hulka za kiislam.

Kiwanja hichi wameuza kwa msomali huyo ambaye anajenga Mall na ameanza kuuza maduka yaliomo humo kwa faida yake.

Hili dubwana bakwata ni tatizo kubwa juu ya mali zite hizi shule zao zipo taabani ki elimi na zina zidi kuporomoka na shehe simba apiga pilau wala habari hio haimkeri inamhusu nini ?
Kuna fans wa Bakwata kina Abou Iddi nao kimyaa ukiwauliza wanakukejeli .
Waislam kunaf haja kubwa ya kulikamata Bakwata na kuweka watu waadilifu watakao leta maendeleo kwa waislam japo
tumechelewa kwani hawa jamaa wameuza kila kitu.
Sio vyema kutangaza udhaifu wako hadhari kwan utadharaulika! Tumia busara ya kushauri ukiwa ndan sio kulalamika na kutangaza madhaifu yenu kwani hakuna aliyemkamilifu dunian hata wew ungekabidhiwa amana za waislamu ungeiba tu! Cha msingi muombe allah awape fikra nzuri za kuendeleza iman yao kuliko wafanyavyo sasa maana wanafanya mazuri ila wew huyaoni bali unaona mabaya tu! Tafuta mazuri yao utaacha kuhuzunika bali utakuwa na furaha na aman!
 
Wise words
 
Ni bora ya Bakwata ya Islamic Foundation unayajua? muulize FaizaFoxy atakueleza,mpaka unga unauzwa masjid, Darlur alqam Muslim University Radio Imaan bado kuzikwa tu. Ufisadi unafunikwa na baragashia na busati.
 
Last edited by a moderator:
Sio vyema kutangaza udhaifu wako hadhari kwan utadharaulika! Tumia busara ya kushauri ukiwa ndan sio kulalamika na kutangaza madhaifu yenu kwani hakuna aliyemkamilifu dunian hata wew ungekabidhiwa amana za waislamu ungeiba tu! Cha msingi muombe allah awape fikra nzuri za kuendeleza iman yao kuliko wafanyavyo sasa maana wanafanya mazuri ila wew huyaoni bali unaona mabaya tu! Tafuta mazuri yao utaacha kuhuzunika bali utakuwa na furaha na aman!

Ww umemuhuku kabisa crabat kumwambia angeiba kama angekuwa ktk madaraka unataka kuniambia kila mwenye madaraka ni mwizi hakuna wasafi? Ww ndio umefanya vibaya zaidi kuliko huyo anaefichua ufisadi..maana ww umehukumu kabisa..ni bora ungeainisha hayo mazuri ya Bakwata tukachanganua mazuri yako na mabaya ya alio leta crabat..lakini ujue waislam walio wengi wanaiyangali bakwata kwa ubaya sio kwa uzuri..na wanaiyangalia kwa ubaya kwa kuwa wanafanya mabaya kuliko matarijio ya mazuri.. na ujue hii taasisi kubwa watu walitegemea mazuri zaidi kuliko mabaya..ndio maana waislam wengi inatuuma kuuona bakwata hawafanyi mazuri ktk maendeleo ya waislam.sisi tulitegemea kuona mashule mahospitali mavyuo nk kutoka kwa uwanzilishi wa bakwata lakini wp tunaona kinyume chake uzwaji wa rasilimali na uchakavu wa vishule vuwili vitatu.lakini kama ww unayo unayoyajua mazuri ya bakwata tuandikie tuyajue tusio jua..
 
Wewe mleta mada nawe umekuwa mtu wa ajabu kweli;umeacha jambo LA msingi uliloleta jamvini umeanza kushabikia udini

Answar Sunni (wazee wa sembe)awa wanawaza ugomvi tu muda wote, na ndio maana ata wafuasi wanawakimbia.

Waulize Islamic foundation imefanya nini zaidi ya ufisadi wa misaada au wanafikiri hatujui?
 
nadhan una uwezo mdogo sn wa kufikiri, kwa taarifa yako hayo makundi yanayopigana yote ambayo yanasemwa ni ya kigaidi kuwa ni ya waislam, co kweli kwa sababu yanapingana sana na mafundisho ya kiislam,
mfano
hakuna kipengele kinachosema et elimu fulan pekee ndo nzuri,(boko haram), elim ya magharib ni haram,
au
kuua mtu asiyekua na hatia, hivyo n vitu ambavyo uislam unapingana navyo,
fungua kichwa uone propaganda zinazoenezwa ili kuuhusisha uislam na ugaid,
maku weee

Vipi kuhusu ufisadi wa waislamu wa bakwata unauzungumziaje?
 
mkuu bakwata inahitaji reform kuna jamaa alikuwa nkuu wa shule ya alharamain ukwasi alionao utashangaa kama ni headmaster tu
..
 
BAKWATA HARAMU, KISA ILIANZISHWA NA SERIKALI, MAHAKAMA YA KADHI HALALI AMBAYO NAYO MNAOMBA IANZISHWE NA SERIKALI YENYE MFUMO KRISTO!! Ama Kweli Ni Heri Kuwa Fukara Wa Mali Kuliko Kuwa Fukara Wa Akili Na Fikra.
 
Waungwana kila mtu mwenye ufahamu anajua nini maana na thamani ya imani.
Na hakuna kitabu chochote kinachofundisha kudharau imani ya mtu, sasa mada inazungumza ufisadi wa bakwata ungezungumzwa huo lakini kuna pande ambazo zimevuka mipaka na kuwa mipasho na kashfa kitu ambacho sio lengo la JF ndg zangu tunachukiana huku hatuonani siku tukionana itakuwaje nawakumbusha we are a great thinkers.
 
Bakwata Taasisi kuu ya kufisidi mali na maendeleo ya waislam imefanya ufisadi mwengine mkubwa kwa kuuza kwa ufisadi kiwanja kilichopo kona ya Bibi Titi na Morogoro.

Kiwanja hicho ameuziwa mgeni msomali wa Ramada kujenga Mall bila ya fedha hizo kuwanufaisha waislam na taasisi zao. Wizi huu wa mali za waislam unafanywa huku serikali ikizuia muislam yoyote kuihoji taasisi hii juu ya ubadhirifu.

Itakumbukwa Sheikh Ponda yupo ndani chanzo kikiwa kujaribu kuzuia wezi hawa wa BAKWATA kupora na kuuza viwanja vya waislam Temeke. Mpaka leo yupo ndani hii ikimaanisha serikali ina mkono wake kuona taasisi hii inakuwa na watu wasio kuwa waadilifu.

Kulikuwa na kamati iliyojiita ya kutetea mali za waislam iliokuwa ikio ngizwa na Mattaka mara hii hawakupiga kelele kwani nao wamewekwa sawa na mgao.

Sasa hivi BAKWATA wameuza mali zote karibu walizo rithi kutoka EAMWS kwa kupewa ili wazitumie kwa ajili ya umma wa kiislam lakini wameuza zote na kutumia fedha hizo wao wenyewe.

Kuna majumba maeneo yote ya jiji yalio tolewa na waislam na yote wameuza. Taasisi hii ina watu wa ajabu kabisa wengi hawana hata elimu ya kiislam wala desturi na hulka za kiislam.

Kiwanja hichi wameuza kwa Msomali huyo ambaye anajenga Mall na ameanza kuuza maduka yaliomo humo kwa faida yake.

Hili dubwana BAKWATA ni tatizo kubwa juu ya mali zite hizi shule zao zipo taabani ki elimu na zinazidi kuporomoka na Shehe Simba apiga pilau wala habari hiyo haimkeri, inamhusu nini? Kuna fans wa BAKWATA kina Abou Iddi nao kimyaa ukiwauliza wanakukejeli.

Waislam kuna haja kubwa ya kulikamata BAKWATA na kuweka watu waadilifu watakaoleta maendeleo kwa waislam japo tumechelewa kwani hawa jamaa wameuza kila kitu.

Ngoja niwapige duwa kali: Bismillah rahmani rahim,Amen! Amahulana michongo,Amen! Wanajima amin longolongo,Amen! Waruzukna halala mihogo, Amen! walat john sina walat umat Muhammad ni waongo,amen! Wala usitujalie wavivu kama kallu ubwabwa mandondo,amen! wataufik, amen! Wa torabora,amen! Watakrim,amen! wa air msae,amen.Wa ngorika,amen!! ALHAMDULLILLAH!!!!!!!
 
Baraza kuu la waislam tanzania hamuwezi kubadili jina hili ni majizi kweli huku moshi wameuza shule iliyokuwa Islamic. Sec.iliyoko mjini
 
Bakwata Taasisi kuu ya kufisidi mali na maendeleo ya waislam imefanya ufisadi mwengine mkubwa kwa kuuza kwa ufisadi kiwanja kilichopo kona ya Bibi Titi na Morogoro.

Kiwanja hicho ameuziwa mgeni msomali wa Ramada kujenga Mall bila ya fedha hizo kuwanufaisha waislam na taasisi zao. Wizi huu wa mali za waislam unafanywa huku serikali ikizuia muislam yoyote kuihoji taasisi hii juu ya ubadhirifu.

Itakumbukwa Sheikh Ponda yupo ndani chanzo kikiwa kujaribu kuzuia wezi hawa wa BAKWATA kupora na kuuza viwanja vya waislam Temeke. Mpaka leo yupo ndani hii ikimaanisha serikali ina mkono wake kuona taasisi hii inakuwa na watu wasio kuwa waadilifu.

Kulikuwa na kamati iliyojiita ya kutetea mali za waislam iliokuwa ikio ngizwa na Mattaka mara hii hawakupiga kelele kwani nao wamewekwa sawa na mgao.

Sasa hivi BAKWATA wameuza mali zote karibu walizo rithi kutoka EAMWS kwa kupewa ili wazitumie kwa ajili ya umma wa kiislam lakini wameuza zote na kutumia fedha hizo wao wenyewe.

Kuna majumba maeneo yote ya jiji yalio tolewa na waislam na yote wameuza. Taasisi hii ina watu wa ajabu kabisa wengi hawana hata elimu ya kiislam wala desturi na hulka za kiislam.

Kiwanja hichi wameuza kwa Msomali huyo ambaye anajenga Mall na ameanza kuuza maduka yaliomo humo kwa faida yake.

Hili dubwana BAKWATA ni tatizo kubwa juu ya mali zite hizi shule zao zipo taabani ki elimu na zinazidi kuporomoka na Shehe Simba apiga pilau wala habari hiyo haimkeri, inamhusu nini? Kuna fans wa BAKWATA kina Abou Iddi nao kimyaa ukiwauliza wanakukejeli.

Waislam kuna haja kubwa ya kulikamata BAKWATA na kuweka watu waadilifu watakaoleta maendeleo kwa waislam japo tumechelewa kwani hawa jamaa wameuza kila kitu.

BAKWATA is an AGENT of DEVIL:flame::flame:
 
tatizo la waislam wanataka kila kitu wafanyiwe na serikali ni jukumu lao wenyewe kulinda mali zao wasipofanya hivyo baada ya muda mchache watakosa kila kitu na kusingizia wakiristo ndio wamewafanyia hivyo ndio maana napinga na nitaendelea kupinga mahakama ya kadhi kuingizwa rasmi kwenye mfuomo wa serikali waanzishe mahakama yao wenyewe waigharamie ili iwe inawaamuria kesi kama hizi
 
Ungepinga na pesa mamilion ya shilingi yanayotoka hazina kwenda ktk taasisi za kikiristo ningekuona wa maana sana..
 
Back
Top Bottom