BAKWATA wafanya ufisadi mwengine

BAKWATA wafanya ufisadi mwengine

mbavu zangu!!! sasa huyo ni allah au mwanadamu

mkuu mimi namsikia tu ila simjui ila wanaomjua wanadai yeye anajua kiarabu tu.kiingereza hajui labda kaanza kusoma tuition ya umombo mimi sijui
 
Ni bora ya Bakwata ya Islamic Foundation unayajua? muulize FaizaFoxy atakueleza,mpaka unga unauzwa masjid, Darlur alqam Muslim University Radio Imaan bado kuzikwa tu. Ufisadi unafunikwa na baragashia na busati.

wacha uzushi wewe islamic fondeshen ni levo nyingine
 
Last edited by a moderator:
Livunjwe tu. Haiwakilishi Waislamu, bali Mfumo Kristo.
 
Sio vyema kutangaza udhaifu wako hadhari kwan utadharaulika! Tumia busara ya kushauri ukiwa ndan sio kulalamika na kutangaza madhaifu yenu kwani hakuna aliyemkamilifu dunian hata wew ungekabidhiwa amana za waislamu ungeiba tu! Cha msingi muombe allah awape fikra nzuri za kuendeleza iman yao kuliko wafanyavyo sasa maana wanafanya mazuri ila wew huyaoni bali unaona mabaya tu! Tafuta mazuri yao utaacha kuhuzunika bali utakuwa na furaha na aman!

Hivyo wezi wa escrow tunge waombea tu. Haikua na haja ya kuwasema aibu zao.
Wezi lazima wafichuliwe tu hata akawa askofu Kilaini tuliwasema walipo chukua escrow .
 
Ni bora ya Bakwata ya Islamic Foundation unayajua? muulize FaizaFoxy atakueleza,mpaka unga unauzwa masjid, Darlur alqam Muslim University Radio Imaan bado kuzikwa tu. Ufisadi unafunikwa na baragashia na busati.

We padri mlevi habari za masjid umeambiwa na nani?
 
Last edited by a moderator:
mbavu zangu!!! sasa huyo ni allah au mwanadamu

Sio kosa lako,
Mbavu zako zimetekenywa sana kwenye upako!

Na kile kisanamu unacho kipigia goti kila siku hakijawahi kukutekenya?
 
Islamic foundation wanafanya kazi ndio mana waislamu wengi wana wakubali
 
Muslims are Muslims, no matter what they are still muslims who believe in Muhammad, their deity.
 
Ile co taass ya kiislam, n taass iliondwa na nyerere kuudhoofsha uislam kuptia waislam wacojielewa
 
Ww umemuhuku kabisa crabat kumwambia angeiba kama angekuwa ktk madaraka unataka kuniambia kila mwenye madaraka ni mwizi hakuna wasafi? Ww ndio umefanya vibaya zaidi kuliko huyo anaefichua ufisadi..maana ww umehukumu kabisa..ni bora ungeainisha hayo mazuri ya Bakwata tukachanganua mazuri yako na mabaya ya alio leta crabat..lakini ujue waislam walio wengi wanaiyangali bakwata kwa ubaya sio kwa uzuri..na wanaiyangalia kwa ubaya kwa kuwa wanafanya mabaya kuliko matarijio ya mazuri.. na ujue hii taasisi kubwa watu walitegemea mazuri zaidi kuliko mabaya..ndio maana waislam wengi inatuuma kuuona bakwata hawafanyi mazuri ktk maendeleo ya waislam.sisi tulitegemea kuona mashule mahospitali mavyuo nk kutoka kwa uwanzilishi wa bakwata lakini wp tunaona kinyume chake uzwaji wa rasilimali na uchakavu wa vishule vuwili vitatu.lakini kama ww unayo unayoyajua mazuri ya bakwata tuandikie tuyajue tusio jua..

Kama ni muislam ni jukumu lako kujua wanafanya nin kuendeleza uislam wako na je wewe umeshauri ili kuleta ufanisi! Kuna dawati la ushauri fikisha mawazo yako yanakotakiwa ili kuleta ufanisi!
 
Ungepinga na pesa mamilion ya shilingi yanayotoka hazina kwenda ktk taasisi za kikiristo ningekuona wa maana sana..

Pesa kwenda kwenye taasisi za kikristo si tatizo. Tatizo litakuwepo kama wanufaika ni wakristo pekee. Pesa hizo zinaenda kwenye ma hospital. Je waislamu hawatibiwi au wanakatazwa huko? Hilo ndio la msingi. Waislamu wanayo nafasi ya kuunda taasisi za aina hiyo kusaidia wananchi wa dini zote na kuomba pesa kama hizo. Je hilo limefanyika wakanyimwa?

Maeneo ya Kisemvule (kuelekea Mkuranga), Roman Catholic wamejenga hospital na wakazi wengi wa maeneo hayo wanaotumia hospital hiyo ni waislamu.
 
Hata wewe ni agent wa devil kwanini uandike kiingereza wakati Allah anajua kiarabu TU.

kumbe allah anajua kiarab tu ndo mana watu hususani wa mihadhara wanaoijua kuruani vizur wanasemaga allah sio Mungu
 
Sio vyema kutangaza udhaifu wako hadhari kwan utadharaulika! Tumia busara ya kushauri ukiwa ndan sio kulalamika na kutangaza madhaifu yenu kwani hakuna aliyemkamilifu dunian hata wew ungekabidhiwa amana za waislamu ungeiba tu! Cha msingi muombe allah awape fikra nzuri za kuendeleza iman yao kuliko wafanyavyo sasa maana wanafanya mazuri ila wew huyaoni bali unaona mabaya tu! Tafuta mazuri yao utaacha kuhuzunika bali utakuwa na furaha na aman!

crabat kuna mambo mengi sana huyajui kuhusu uislam wa tanzania na mali zake,usiwe shabiki wa ki siasa tu na kukandamiza,Bakwata ndio wana mapungufu lakini unajua historia ya hayo maeneo? au wewe unaongea tu kishabiki udhuria vikao na makongamano ya busara ya waislam ndio utajua historia ya kweli na sio hizo siasa,
NA PIA NAKUONEA HURUMA KWA KUJIVUA NGUO HADHARANI,NA KUONGEA KITU AMBACHO HUKIJUI BALI USHABIKI TU,NA MBAYA ZAIDI MTU ASIYE MUISLAM ANAKUFUNDISHA HEKIMA NA USTAARABU,INSHAALLAH NAKUOMBA HUDHURIA MADARASA YA KIISLAM KATIKA MISIKITI ILIYO KARIBU NA WEWE THEN UTAELEWA NA SI KAMA AMBAVYO UMEFANYA,
USHASIKIA WAKRISTO WANAKUJA KUANIKA MAMBO YAO HAPA ???????
 
Prince Prince, Nakubali kwamba kuna mambo mengi kuhusu Uislam Tanzania na mali zake siyajui . Kwa hili sio mimi tu ambao tupo gizani bali waislam wengi.
kwanini tupo gizani ? Bakwata ndio walo rithi mali za EAMWS na pia mali nyengine za wakfu walizo toa waislam kwa ajili ya maendelo ya waislam. waislam hawa walikua na nia nzuri kabisa na pia kama sadaka yao . Kuna mali nyengine walipewa na serikali. HAKUNA HAKUNA ambacho bakwata wamenunua kwa fedha zao (labda magari yao) kama kipo utatujuvya tuelewe.
kulikuwa na nyumba Upanga moja mie naifahamu kabisa ipo mtaa wa Undali , hii wameiuza bila ya aibu ni wizi kabiisa. Kuna mali za waqfu viongozi hawa wame jiuzia wao na kuziuza .
kuna uwanja maaruf wa changombe mchicha jee ni sahihi kuutoa uwanja ule kwa vituo vya ptroli ? na wafyatuaji matofali ?
uwanja ule kama hawa watu ni waadilifu ni zaidi ya EKA 20 ! wanalishindwa nini kukusanya nguvu za waislam na kujenga shule ya kisasa na Hospitali Kubwa ya kina mama ambao huwa wanakwenda kuzalia hospitali zisizo kuwa na maadaili ya kiislam na kuzalishwa na wanaume? bila ya shaka wamekosa dira, wamekosa uadilifu , wamekosa nia ya dhati kuutumikia umma.
wazee wa mji huu kina Tambaza na Mwinyimkuu wametoa maeneo mengi kwa ajili ya uislam na waislam na yalobaki ni makaburi, ingekuwa nayo yanauzika basi makaburi ya mwiny mkuu wangesha yauza zamani,

Kuhusu madrassa na makomano....napenda kukufahamisha mimi si mjuzi wala sina elimu ya uislam lakini alhamdulilah..najua mengi na kwa siku natumia masaa zaidi 2 kujisomea makala na vitabu mbali mbaili ikiwamo uislam, hadith na mengineyo ya kidunia, nashukuru niko well informed.

Ama kuhusu kulisema Bakwata hadhara na kuli nganisha na wakristo kuwa huwakuti kuwasema viongozi wao ...jawabu yake ni hii:

hao wakristo wana ridhika na uongozi wa taasisi zao kwani zinawatumikia haswa na viongozi ipasavyavo na maslahi ya yanalindwa haswa.
sisi tasisi yetu haitusaidii kabisa, ni wafujaji wa mali
hawana vision yoyote
wanatuvuruga
wao ndio walofanya uchuro mpaka hoja ya Kadhi Court ikawa kiroja. wakati waislam wana jadili hoja hii kwa uweledi wao wakateua makadhi !!!!! yaani mambo ya ajabu kabisa. na kwa vile serikali inawatumia kuharibu issue yote ya Kadhi COURT na kinacho endelea kila muislam ana kiona ...
Ndugu yangu kuna tofauti kati ya kuumkosoa binaadamu hata akiwa kiongozi au tasisi anayo iongoza na kukosoa imani.
Bakwata haifai kuwaongoza waislam , ni taasisi ya kibaguzi , na iliundwa kwa misingi ya kibaguzi ati kuwapa watanganyika waafrika taasisi yao wenyewe, hilo ndio lilikua agizo la kuundwa kwa Bakwata , jee ndugu yangu msomi uislam unakubali kuwa na taasisi ya waislam waafrika pekeee?
hilo ndio likazaa taasisi za kikabila, yote yametokana na kuundwa kwa bakwata ya 'watanganyika' na muasisi wake anajulikana .
leo athari yake tuna Istiqama-ya waislam wa oman
tuna TYCC - Tasisi ya waislam wayemen
tuna bohora
tuna ismail
tuna shia Ithnaasheri
kila mmoja na lake..Taasisi hizi zote zilikua chini ya EAMW.
MWISHO KWA VILE BAKWATA NI TAASISA AMBAYO SERIKALI NDIO INAYO ITAMBUA KUWA INAWAKILISHA WAISLAM TANZANIA NA KWA VILE TAASISI YENYEWE HAIFANYI WAJIBU WAKE NA HAKUNA NJIA YA KUIBADILISHA IWAJIBIKE BASI TUTA ISEMA MPAKA ITAPO BADILIKA
 
Back
Top Bottom