PostGE2025 BAKWATA: Project ya mamlaka inayotumika vibaya?

PostGE2025 BAKWATA: Project ya mamlaka inayotumika vibaya?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,810
Reaction score
831,020
Tofauti na TEC na CCT ambao wote kwa nyakati zote wanapokuwa na jambo la jumuiya huzungumzia 'WANANCHI' Tafsiri ya watu wote

Wa imani zote

Wa Kaliba zote

Wa mutazamo yote

Wa jinsia zote nk

Kwa upande wa BAKWATA hali ni tofauti kabisa! Mara nyingi kama sio zote hupenda sana kufanya mgawanyo hasa wa kiimani.. Wakipendelea zaidi kuitaja imani yao

Kwa hali hii watawala wamegundua ufahamu wa hii taasisi na udhaifu wake kwenye uelewa wa mambo mengi hivyo kuitumia watakavyo kwa manufaa binafsi

Maaskofu wametoa msimamo wao juu ya Serikali. Serikali imekaa kimya, lakini BAKWATA na masheikh wengine ndio wanaojibu mapigo!

Hawa ndio BAKWATA kwa jicho la wazi
 
BAKWATA, tofauti kabisa na malengo iliyoundwa kuyasimamia, imejikuta inageuka kuwa taasisi ileile iliyokusudiwa kuepukika baada ya uhuru.

Ile taasisi yenye mizizi yake Kariakoo imeweza kuingia na kuiteka BAKWATA na kutimiza yale yale yaliyotafutwa kuepukika wakati wa kuata uhuru.

BAKWATA imejipenyeza ndani ya CCM na kuiteka ili yale malengo ya kundi la Kariakoo yatimizwe.
Kikwete amekuwa kiungo muhimu sana katika juhudi hizo.
 
Samahani, usiwaingize CCT katika mfumo wa kijinga wa TEC..

matamko ya CCT huwa ni ya kipatanisho na siyo uchonganishi.

CCT siyo tawi la chadema, CCT ni wapatanishi kama walivyo wasabato

bakini na upumbavu wenu wa TEC huko, usituingize CCT kwenye jumuiya za kuua albino.
 
Tatizo masheikh hawana elimu mujarabu ya mambo ya mtambuka. Hawa ni radical kidini ndio maana kauli na matamko yao ni hatari kwa taifa. Ni wabinafsi kwa dini yao kana kwamba jamii yao imo misikitini tu kwamba hawaingiliani na jamii zingine zisizoamini uislam
 
FB_IMG_1763555336771.jpg
 
Tofauti na TEC na CCT ambao wote kwa nyakati zote wanapokuwa na jambo la jumuiya huzungumzia 'WANANCHI' Tafsiri ya watu wote

Wa imani zote

Wa Kaliba zote

Wa mutazamo yote

Wa jinsia zote nk

Kwa upande wa BAKWATA hali ni tofauti kabisa! Mara nyingi kama sio zote hupenda sana kufanya mgawanyo hasa wa kiimani.. Wakipendelea zaidi kuitaja imani yao

Kwa hali hii watawala wamegundua ufahamu wa hii taasisi na udhaifu wake kwenye uelewa wa mambo mengi hivyo kuitumia watakavyo kwa manufaa binafsi

Maaskofu wametoa msimamo wao juu ya Serikali. Serikali imekaa kimya, lakini BAKWATA na masheikh wengine ndio wanaojibu mapigo!

Hawa ndio BAKWATA kwa jicho la wazi
Kuna shida kadhaa kama utaelewa mshana, nakupa jicho langu juu ya ukubwa wa tatizo kwasababu nahisi nipo ktk nafasi ya kujua tatizo unalo jadili.

Waislam kwa ujumla wao hawawezi kuelewa TEC ikisimama na kutetea haki, Kwasababu za ki-historia za kweli na perceptions pongine. Hivyo huo ni mgogoro usio epukika kati ya TEC na waislam, na hii haina maana ya waumini wa catholic kwa ujumla wao.

Pili kuna shida ya propaganda hapa, ktk Taasisi zote hizo ni TEC tu ambayo haishambuliwi na vijana wa mtandaoni! Wengine wote wanabagazwa sana mitandaoni nitakupa mifano michache

Bakwata - husemwa ni wajinga/hawakusoma/chawa watu wa bahasha
Anglikana kupitia shoo/Malasusa - husemwa kuwa wanahongwa, chawa, au maafisa kipenyo!

Hayo mambo ni mgogoro wa wazi ktk jamii na yana mchango ktk huo udini unao jadiliwa sasa
 
Back
Top Bottom