BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

Maswali uliyo uliza ni ya msingi. Naimani wanapita humu. Watupe majibu fasaha kwa maswali uliyouliza.
 
Serikali kusaidia taasisi za dini kuna tatizo gani? Hawa viongozi wa dini wamepewa magari ya serikali, mafuta ya serikali ambayo ni kodi zetu, mbona hatukuwahi kuona ni tatizo? Au tatizo ni billion 5 kwenda BAKWATA?
 
Kumbe wewe ndio maana hata kazi ya Umoderator ulifukuzwa hapa JF.

Unalijuwa kanisa katoliki wewe au unajifurahisha? Una uelewa wowote kuhusu Vaticano?

Waulize Illuminati watakueleza vizuri kanisa katoliki ni nini na ni kwa kanisa katoliki ni dola lenye ubalozi wake nchini Tanzania.

Rais wako au serikali yako ni sawa na sisimizi tu mbele ya Vaticano, hii mizaha ya kitoto watafanyiwa waislamu lakini si kanisa katoliki.

Ile mipesa ya wizi yote ya Escrow ilipitia account ya benki ya mkombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki.
 
Mkuu, BAKWATA ni tawi halali kabisa la CCM! Limehalalishwa na lenyewe likaridhia kwa moyo mkunjufu kabisa! Kwanza BAKWATA iliundwa kama taasisi na jumuiya ya CCM!
 
Hilo Kanisa liko chini ya Serikali, asikudanganye mtu!
 
Mkuu, BAKWATA ni tawi halali kabisa la CCM! Limehalalishwa na lenyewe likaridhia kwa moyo mkunjufu kabisa! Kwanza BAKWATA iliundwa kama taasisi na jumuiya ya CCM!
Kama wahusika wameridhia kinachowauma ni nini?
 
bakwata.cct na tec zote zliundwa maalum kwa ajili ya usalama wa nchi enzi za mwalim
 
Wewe ndio mbumbumbu punguwani wahed, kwa akili zako za kutawaliwa akili na dini za wazungu au waarabu kamwe huwezi kuelewa nilichoandika hata urudie kunisoma mara 200.

Sijajuwa tu dini ya makafir na dini ya magaidi ipi bora maana wote akili zenu mmeshikiwa na wazungu na waarabu ndio mnawehuka utadhani na wewe kwenye makabila 12 ya Israel kabila lako limo!
 
Hilo Kanisa liko chini ya Serikali, asikudanganye mtu!
Wewe nimeshakueleza muda mrefu upeo wako ni mdogo sana.

Kanisa katoliki ni dola kubwa zaidi ya nchi ya Tanzania, Mafia wenyewe wanalielewa vizuri hili dola la Vaticano.

Tena ukitaka kulijuwa vizuri kanisa katoliki nenda Congo kanisa ndio limemshikia bango Josee Kabila aondoke madarakani mbona hana jeuri ya kulifuta?
 
Uislam na waislamu Tanzania unatumika kama ngazi ya kutawala.Waislamu hawana msimamo na umoja wa kutetea imani yao ndio maana serikali inawanunua kwa bei POA.
 
Bakwata inaruhusu ofisi zijengwe na serikali wao hata mia hawatoi!Kesho wataambiwa kiti moto iliwe misikitini watakubali wakikataa tunawafukuza kwenye ofisi zetu
 
Iyo bajeti kapitisha nani?,chanzo za iyo ela imetoka wapi? RC,KKKT,CATOLIC,WASABATO ETC nao watajengewa?
 
Sikiliza we kiumbe, tatizo lako unaongozwa na elimu ya madrasa kuliko elimu ya kukukomboa kifikra. Matokeo yake unaanika ukilaza wako humu.

Udini wako unasababisha unatokwa povu jingi kukashifu na kukebehi dini za wengine bila sababu za msingi. Eti 'deen ya haki'!!! Hata mtoto wa darasa la saba akikusoma atashangaa ulivyo mtupu kichwani. Uwezo wako wa kufikiri bado ni mdogo sana.

Siku ukianza kujiona wewe ndani ya wengine ndipo utakapokuwa na fikra pevu.
 
Kila mtu anajua hii BAKWATA ni jumuiya tu ya CCM. Mwakilishi huru wa Waislam alikiwa BALUKTA (Baraza la Kuendeleza Koran Tanzania) ambayo ilifutwa na Mwinyi kwa maslahi yake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…