BAKWATA NA BASUTA Hangaikeni na DC IGUNGA, QURAN Imechomwa Moto MWANZA

Status
Not open for further replies.
Watanzania wenzangu ninaomba sana tena sana msipende kuandika au kushabikia mambo dini humu ndani kwani madhala yake ni makubwa sana.

Hii thread aliyoandika huyu mtu inaonyesha ni ya kuchochea vurugu ambazo hautaweza kuzimwa kwa gharama yoyote

Kuweni makini na kila uandikacho na msifikirie kwa kutumia masabuli yenu.

Mimi ni mkristo lakini nasikitishwa sana na upuuzi huu

Mwenye masikio na anisikie

Nawasilisha

We umeona huu uchonganishi au uchochezi. Poor thinking level
 
Kwani ni Kiasi gani kimeahidiwa huko Mwanza ili Mashehe Ubwabwa tuanze kujipanga? Naomba kama kuna chochote Nape ameahidi huko Mwanza, hili dili mniachie mie maana nyie niliwaachia la Igunga. Waislam sisi ni wamoja hususan kwenye ulaji kama huu huwa tunamalizana "Kiislam".

Wewe si muislam..usijipendekeze kwenye dini za wenye akili..hatuna watu wenye akili matope kama yako
 
Hahahahaa!!
Mi love this game. Ni posho Vs Qoran!
Huko Lumara Mwanza kwenye Quruan hakuna posho ndugu yangu, ngoja tumalize uchaguzi kwanza maana hawa CDM tukihamia Mwanza na siku za uchaguzi zimekaribia watatushinda wakati tayari tumeisha kula advance za watu huku Igunga,,,

TUKIPATA NAULI TUTAKUJA MWANZA MJOMBA!!!!
 
Hayo ndio Makanisa yaliyoingia baada ya Azimio la Zanzibar... Sasa hivi kunamakanisa binafsi mengi na Ndio Rais Kikwete amesema Viongozi wao Wanatumia Dini hizo kuingiza Madawa ya Kulevya

Azimio la Zanzibar limetupa mengi ambayo sasa yanaonekana yatavunja Mshikamano wetu; Angalia hivyo Vitambaa Wanawake wa kiislamu wanavyovaa Sasa hivi ni issue kubwa kuonyesha Nywele, Miaka ya Nyuma wakati hakuna watu kutumia vitambaa hivyo walikuwa huru na furaha

Angalia Mahakama ya Khadhi, Nchi yetu ina Sheria na kwanini tuwe na sheria ya kutengana? Jaji Mkuu Mwislamu, Jaji wa Kiongozi Mwislamu, Waziri wa Mambo ya Ndani Mwislamu... kweli haki ya Mtu Mwislamu haiwezi kupatikana ? Ni Miaka 50 sasa wangapi waislamu wameonewa?

Huyu aliyechoma kitabu cha dini moja kwa moja ni kosa la jinai anapaswa kuwekwa Jela kwa Miaka Mingi bila Msamaha na ikiwezekana hicho kijiwe chao cha Dini kinyang'anywe Leseni na kufungwa.

Sorry hujaelewa maana ya mahakama ya kadhi so far..just keep on learning
 
Nakubaliana na wewe kwa Hoja hii kwa karibu asilimia 80
 
YESU AKUTUACHIA KAZI YA KUPIGANIA UKIRSTO bali kueneza injili.yesu alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhamb zetu,mitume waliteswa wakieneza injili kuchomwa,kuchinjwa na wengne walisulubiwa sembuse BIBLIA makaratasi.muhim ni Holy Sprit

kama alikufa kwa zambi zenu kanisani mnaenda fuata nini? acha uongo.
 
Ni dhahiri vyombo hivi vya kiimani vimeanza kuyasahau majukumu yake na kutumiwa kufikisha sauti za wanasiasa nyuma ya migongo ya Imani na kutoa matamko katika mambo ambayo hakuna msingi wowote wa kiimani.

Ukweli hakuna dhambi inayoshinda nyingine, lakini kama ni uharaka na umuhimu wa kushughulikia mambo lipi la haraka zaidi kwa kuvuliwa kilemba DC na utovu wa maadili kwa baadhi ya waumini ambao wamerejea rasmi katika maasi baada ya TOBA ya RAMADHAN na hatujasikia Tamko.

Sasa wakati mnaendelea kupamba siasa za Igunga kwa ujira mdogo, usiku wa kuamkia leo waumini wa Dini ya walokole huko Mwanza wamechoma moto kitabu kitakatifu cha QURAN kwa madai ya kutakasa nyumba ya mmoja wa waumini wa dini ya kiislam aliyefanyiwa maombi maalum kumtanzua na kadhia ya maumivu ya miguu yanayomsumbua kwa muda mrefu sasa.

Mama huyo kutoka familia ya Bwana Adam Issa huko lumala Mwanza anadaiwa kufanyiwa maombi hayo hapo jana huku shemeji yake akiwa katika dimba la CCM kirumba kushuhudia mechi ya ligi kati ya Simba na Toto.

Kadhia hii inaelezwa kuleta tafrani kubwa katika hisia za waumini wa dini ya Kiisalm katika Kitongoji cha Lumala na kwamba hatua zaidi zitatangazwa baadaye.

BAKWATA na BASUTA sijasikia mkitoa tamko kuhusu hili licha ya kufuatilia Radio Imani asubuhi yote ya leo baada ya kupokea ujumbe huu kutoka mwanza kwa Shuhuda wa Tukio hili (Ninayemuamini na chanzo changu kwa habari zote za MZA)

My TAKE: Acheni siasa na majukwaa ya siasa yafanye kazi yake ''msichanganye Maandiko na siasa, ni kama Mafuta na Maji ''(MUNISHI)

More Detail to follow

Watanzania wenzangu ninaomba sana tena sana msipende kuandika au kushabikia mambo dini humu ndani kwani madhala yake ni makubwa sana.

Hii thread aliyoandika huyu mtu inaonyesha ni ya kuchochea vurugu ambazo hautaweza kuzimwa kwa gharama yoyote

Kuweni makini na kila uandikacho na msifikirie kwa kutumia masabuli yenu.

Mimi ni mkristo lakini nasikitishwa sana na upuuzi huu

Mwenye masikio na anisikie

Nawasilisha
 
hata hvyo hayakuhusu.

Rejeeni kwenye Mjadala acheni kuwadhihaki Watukufu wa Daraja waliotumwa na Muumba kutuongoa katika Giza la Dhambi. Hoja hapa ni maamuzi ya Waumini wa Dini moja kuwabughudhi wengine kwa kuchoma kitabu chao wanachokiamini kuwa kitakatifu, na pia BAKWATA NA BASUTA wajipime kama wanapaswa kushabikia siasa au mambo ya Kiroho.

Kwao huu ni mtihani endapo hawatafuata misingi ya Sheria kukomesha uchokozi huu wa kidini badala ya kupaza sauti na hoja ya kilemba cha Bi. Fatma huko Igunga.

Tubaki katika mada wakuu, madongo ya mihadhara ya kina Nagariba Mussa Fundi na Marehemu Kawemba Mussa Kawemba ina uwanja wake.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom