BAKWATA NA BASUTA Hangaikeni na DC IGUNGA, QURAN Imechomwa Moto MWANZA

Status
Not open for further replies.

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Ni dhahiri vyombo hivi vya kiimani vimeanza kuyasahau majukumu yake na kutumiwa kufikisha sauti za wanasiasa nyuma ya migongo ya Imani na kutoa matamko katika mambo ambayo hakuna msingi wowote wa kiimani.

Ukweli hakuna dhambi inayoshinda nyingine, lakini kama ni uharaka na umuhimu wa kushughulikia mambo lipi la haraka zaidi kwa kuvuliwa kilemba DC na utovu wa maadili kwa baadhi ya waumini ambao wamerejea rasmi katika maasi baada ya TOBA ya RAMADHAN na hatujasikia Tamko.

Sasa wakati mnaendelea kupamba siasa za Igunga kwa ujira mdogo, usiku wa kuamkia leo waumini wa Dini ya walokole huko Mwanza wamechoma moto kitabu kitakatifu cha QURAN kwa madai ya kutakasa nyumba ya mmoja wa waumini wa dini ya kiislam aliyefanyiwa maombi maalum kumtanzua na kadhia ya maumivu ya miguu yanayomsumbua kwa muda mrefu sasa.

Mama huyo kutoka familia ya Bwana Adam Issa huko lumala Mwanza anadaiwa kufanyiwa maombi hayo hapo jana huku shemeji yake akiwa katika dimba la CCM kirumba kushuhudia mechi ya ligi kati ya Simba na Toto.

Kadhia hii inaelezwa kuleta tafrani kubwa katika hisia za waumini wa dini ya Kiisalm katika Kitongoji cha Lumala na kwamba hatua zaidi zitatangazwa baadaye.

BAKWATA na BASUTA sijasikia mkitoa tamko kuhusu hili licha ya kufuatilia Radio Imani asubuhi yote ya leo baada ya kupokea ujumbe huu kutoka mwanza kwa Shuhuda wa Tukio hili (Ninayemuamini na chanzo changu kwa habari zote za MZA)

My TAKE: Acheni siasa na majukwaa ya siasa yafanye kazi yake ''msichanganye Maandiko na siasa, ni kama Mafuta na Maji ''(MUNISHI)

More Detail to follow
 
dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
252
Hii habari vipi. Mbona unahusisha Igunga na mambo ya Mwanza. Vipi uunganishe hayo matukio. Aliyekuwa anaombewa aliridhia kitendo hicho au alilazimishwa??
 
mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
853

Nani atawalipa kukomalia ishu kuchomwa moto koran yao..teh teh..wanalipwa huko igunga ndo mana hawasikii la mwadhini wala...
 
GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Hii habari vipi. Mbona unahusisha Igunga na mambo ya Mwanza. Vipi uunganishe hayo matukio. Aliyekuwa anaombewa aliridhia kitendo hicho au alilazimishwa??

Itakuchukua muda kutafakari mambo na mchezo wa siasa za Tanzania
 
GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Nani atawalipa kukomalia ishu kuchomwa moto koran yao..teh teh..wanalipwa huko igunga ndo mana hawasikii la mwadhini wala...

Na hapa ndo utaona unafiki wa Viongozi wa Dini. Waseme lipi kubwa Quran na Kilemba cha DC Igunga kama si kufukuzia posho za magamba
 
Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
729
Hakuna dhambi ndogo na kubwa, dhambi ni dhambi na zitahesabiwa siku ya malipo. Yale ya Igunga ni kampeni za kisiasa na matamko yanategemea hao viongozi wa dini wanaelemea upande gani, lakini haya ya Mwanza huhitaji kuyasemea; wenyewe wanaharakati wapo na wakifika huko khabari yake utaisikia.
 
Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
255
Kwani ni Kiasi gani kimeahidiwa huko Mwanza ili Mashehe Ubwabwa tuanze kujipanga? Naomba kama kuna chochote Nape ameahidi huko Mwanza, hili dili mniachie mie maana nyie niliwaachia la Igunga. Waislam sisi ni wamoja hususan kwenye ulaji kama huu huwa tunamalizana "Kiislam".
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
27,805
30,358
cheap labor - Njaa ukiziendekeza unaweza hata mtoa mkeo akawa kitoweo cha mafisadi, sasa leo tunaona mama wa watu kawa mtaji wa watu wanufaike kwenue uchaguzi - waislam msikubali kutumika kwenye hiki kitu kuweni makini na hivyo vyombo vyenu vya kuwatetea.

Masuala ya siasa yabakie kuwa ya siasa na wananchi kamwe msitumiwe na watu wachache kutaka kuwagombanisha - heo hii askofu na joho lake akikutwa anapokea Rushwa kwenye kampeni - je asiguswe hadi police wafike eneo la tukio? Mbunge akikutwa anazini na mke wa mtu kwa kutumia hela za kampeni asikungutwe hadi police wa bunge wafike kwenye eneo la tukio? DC akikutwa anafanya kosa la ki jinai kwenye eneo la kampeni asigushwe wala kuulizwa mpaka police wake wafike?

Leteni udini muone vita intakayoanza kama mtaizima -- leo hii mnaambiwa Qualaan imechomwa moto haya sasa na bado. Kesho mtasikia mtu kachambia kurasa za Biblia takatifu - si mnayaka haya yatokee kwa ushabiki na kuvikuza vitu visivyo na msingi.

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
645
1,101
Huko Lumara Mwanza kwenye Quruan hakuna posho ndugu yangu, ngoja tumalize uchaguzi kwanza maana hawa CDM tukihamia Mwanza na siku za uchaguzi zimekaribia watatushinda wakati tayari tumeisha kula advance za watu huku Igunga,,,

TUKIPATA NAULI TUTAKUJA MWANZA MJOMBA!!!!
 
Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
931
Ni dhahiri vyombo hivi vya kiimani vimeanza kuyasahau majukumu yake na kutumiwa kufikisha sauti za wanasiasa nyuma ya migongo ya Imani na kutoa matamko katika mambo ambayo hakuna msingi wowote wa kiimani.

Ukweli hakuna dhambi inayoshinda nyingine, lakini kama ni uharaka na umuhimu wa kushughulikia mambo lipi la haraka zaidi kwa kuvuliwa kilemba DC na utovu wa maadili kwa baadhi ya waumini ambao wamerejea rasmi katika maasi baada ya TOBA ya RAMADHAN na hatujasikia Tamko.

Sasa wakati mnaendelea kupamba siasa za Igunga kwa ujira mdogo, usiku wa kuamkia leo waumini wa Dini ya walokole huko Mwanza wamechoma moto kitabu kitakatifu cha QURAN kwa madai ya kutakasa nyumba ya mmoja wa waumini wa dini ya kiislam aliyefanyiwa maombi maalum kumtanzua na kadhia ya maumivu ya miguu yanayomsumbua kwa muda mrefu sasa.

Mama huyo kutoka familia ya Bwana Adam Issa huko lumala Mwanza anadaiwa kufanyiwa maombi hayo hapo jana huku shemeji yake akiwa katika dimba la CCM kirumba kushuhudia mechi ya ligi kati ya Simba na Toto.

Kadhia hii inaelezwa kuleta tafrani kubwa katika hisia za waumini wa dini ya Kiisalm katika Kitongoji cha Lumala na kwamba hatua zaidi zitatangazwa baadaye.

BAKWATA na BASUTA sijasikia mkitoa tamko kuhusu hili licha ya kufuatilia Radio Imani asubuhi yote ya leo baada ya kupokea ujumbe huu kutoka mwanza kwa Shuhuda wa Tukio hili (Ninayemuamini na chanzo changu kwa habari zote za MZA)

My TAKE: Acheni siasa na majukwaa ya siasa yafanye kazi yake ''msichanganye Maandiko na siasa, ni kama Mafuta na Maji ''(MUNISHI)

More Detail to follow

Tunashukuru kwa taarifa we are taking note of it

Na kuhusu hijabu ombeni tu msamaha yaishe kwamba mlifanya uhuni kudhalilisha alama za dini

Kila tukio linachukuliwa kwa wakatu wake.
 
GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Breaking News:

Umoja wa maimam Mwanza unakutana Mchana huu kujadili Kadhia hii ya LUMALA, ni moja ya matukio mazito katika Dini ya Kiislam.
Taarifa zaidi tutaendelea kuwajulisha kwa kadiri zinavyopatikana kutoka Mza.

My Take: Wanasiasa waliochochea Udini kwa ishu ya DC Igunga huu ni mtihani kwao. Hivi haiwezekani kufanya siasa mpaka uhusishe na Imani za watu. Huu mzimu ni hatari sana huko tuendapo
 
Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,363
488
cheap labor - Njaa ukiziendekeza unaweza hata mtoa mkeo akawa kitoweo cha mafisadi, sasa leo tunaona mama wa watu kawa mtaji wa watu wanufaike kwenue uchaguzi - waislam msikubali kutumika kwenye hiki kitu kuweni makini na hivyo vyombo vyenu vya kuwatetea.

Masuala ya siasa yabakie kuwa ya siasa na wananchi kamwe msitumiwe na watu wachache kutaka kuwagombanisha - heo hii askofu na joho lake akikutwa anapokea Rushwa kwenye kampeni - je asiguswe hadi police wafike eneo la tukio? Mbunge akikutwa anazini na mke wa mtu kwa kutumia hela za kampeni asikungutwe hadi police wa bunge wafike kwenye eneo la tukio? DC akikutwa anafanya kosa la ki jinai kwenye eneo la kampeni asigushwe wala kuulizwa mpaka police wake wafike?

Leteni udini muone vita intakayoanza kama mtaizima -- leo hii mnaambiwa Qualaan imechomwa moto haya sasa na bado. Kesho mtasikia mtu kachambia kurasa za Biblia takatifu - si mnayaka haya yatokee kwa ushabiki na kuvikuza vitu visivyo na msingi.

YESU AKUTUACHIA KAZI YA KUPIGANIA UKIRSTO bali kueneza injili.yesu alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhamb zetu,mitume waliteswa wakieneza injili kuchomwa,kuchinjwa na wengne walisulubiwa sembuse BIBLIA makaratasi.muhim ni Holy Sprit
 
Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
885
659
Ni dhahiri vyombo hivi vya kiimani vimeanza kuyasahau majukumu yake na kutumiwa kufikisha sauti za wanasiasa nyuma ya migongo ya Imani na kutoa matamko katika mambo ambayo hakuna msingi wowote wa kiimani.

Ukweli hakuna dhambi inayoshinda nyingine, lakini kama ni uharaka na umuhimu wa kushughulikia mambo lipi la haraka zaidi kwa kuvuliwa kilemba DC na utovu wa maadili kwa baadhi ya waumini ambao wamerejea rasmi katika maasi baada ya TOBA ya RAMADHAN na hatujasikia Tamko.

Sasa wakati mnaendelea kupamba siasa za Igunga kwa ujira mdogo, usiku wa kuamkia leo waumini wa Dini ya walokole huko Mwanza wamechoma moto kitabu kitakatifu cha QURAN kwa madai ya kutakasa nyumba ya mmoja wa waumini wa dini ya kiislam aliyefanyiwa maombi maalum kumtanzua na kadhia ya maumivu ya miguu yanayomsumbua kwa muda mrefu sasa.

Mama huyo kutoka familia ya Bwana Adam Issa huko lumala Mwanza anadaiwa kufanyiwa maombi hayo hapo jana huku shemeji yake akiwa katika dimba la CCM kirumba kushuhudia mechi ya ligi kati ya Simba na Toto.

Kadhia hii inaelezwa kuleta tafrani kubwa katika hisia za waumini wa dini ya Kiisalm katika Kitongoji cha Lumala na kwamba hatua zaidi zitatangazwa baadaye.

BAKWATA na BASUTA sijasikia mkitoa tamko kuhusu hili licha ya kufuatilia Radio Imani asubuhi yote ya leo baada ya kupokea ujumbe huu kutoka mwanza kwa Shuhuda wa Tukio hili (Ninayemuamini na chanzo changu kwa habari zote za MZA)

My TAKE: Acheni siasa na majukwaa ya siasa yafanye kazi yake ''msichanganye Maandiko na siasa, ni kama Mafuta na Maji ''(MUNISHI)

More Detail to follow

Watanzania wenzangu ninaomba sana tena sana msipende kuandika au kushabikia mambo dini humu ndani kwani madhala yake ni makubwa sana.

Hii thread aliyoandika huyu mtu inaonyesha ni ya kuchochea vurugu ambazo hautaweza kuzimwa kwa gharama yoyote

Kuweni makini na kila uandikacho na msifikirie kwa kutumia masabuli yenu.

Mimi ni mkristo lakini nasikitishwa sana na upuuzi huu

Mwenye masikio na anisikie

Nawasilisha
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,779
Hayo ndio Makanisa yaliyoingia baada ya Azimio la Zanzibar... Sasa hivi kunamakanisa binafsi mengi na Ndio Rais Kikwete amesema Viongozi wao Wanatumia Dini hizo kuingiza Madawa ya Kulevya

Azimio la Zanzibar limetupa mengi ambayo sasa yanaonekana yatavunja Mshikamano wetu; Angalia hivyo Vitambaa Wanawake wa kiislamu wanavyovaa Sasa hivi ni issue kubwa kuonyesha Nywele, Miaka ya Nyuma wakati hakuna watu kutumia vitambaa hivyo walikuwa huru na furaha

Angalia Mahakama ya Khadhi, Nchi yetu ina Sheria na kwanini tuwe na sheria ya kutengana? Jaji Mkuu Mwislamu, Jaji wa Kiongozi Mwislamu, Waziri wa Mambo ya Ndani Mwislamu... kweli haki ya Mtu Mwislamu haiwezi kupatikana ? Ni Miaka 50 sasa wangapi waislamu wameonewa?

Huyu aliyechoma kitabu cha dini moja kwa moja ni kosa la jinai anapaswa kuwekwa Jela kwa Miaka Mingi bila Msamaha na ikiwezekana hicho kijiwe chao cha Dini kinyang'anywe Leseni na kufungwa.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom