zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,219
Habari zenu Wana JF,
Leo tujikite kwenye swala hili ambalo kimsingi ndio chimbuko la mgawanyiko wa maslahi ya watu fulani fulani. Nimekuwa nikipitia pitia vyanzo vingi ili kujua ni nani walioanzisha BAKWATA ambayo mpaka muda huu imekuwa ikilalamikiwa na Waislamu wengi kuwa ipo chini ya Serikali na inafata Masharti ya Serikali.
Katika Mahubiri ya Sheikh Ilunga kati ya moja ya DvD zake ameeleza bila woga kabisa kuwa BAKWATA iliundwa 1968 mjini Iringa, kwenye Ukumbi wa Sapuna Cinema Iringa na Usalama wa Taifa waliopata mafunzo MOSADI, Israeli.
Mwaka huo Mwl. Julius Nyerere ndiey aliyeagiza kuvunjwa kwa East African Muslim Welfare na kuwakusanya Usalama wa Taifa na kuwapeleka Iringa kuunda BAKWATA wakiongozwa na shushushu Rashidi Kayugwa pamoja na wenzake. Kwa maana hiyo BAKWATA haikuundwa na Waislamu wenyewe bali Iliundwa na Usalama wa Taifa Waislamu!
Hao ndio walikuwa waislamu wa kwanza kipindi cha Nyerere ambao aliwateua na kuwapeleka Israel kusomea ushushushu na ndio waliouunda BAKWATA.
BAKWATA ni ya nani?
Kimsingi hapa ndio chimbuko la matatizo yote ya BAKWATA na Waislamu.
Pia soma:
~ Ninachofahamu kuhusu BAKWATA
~ BAKWATA ni mwakilishi halali wa Waislam wote?
~ Maswali 11 yenye utata: BAKWATA ilianzishwa na nani?