kweli dunia ina mambo,,,, ungeweka jina la huyo aliyeandikiwa hiyo barua ingekuwa poa sana
Hii barua ni Template, hivyo wahusika wanatembea na lundo la nakala. Wakikuona tu wanaandika jina lako au kampuni yako kwa mkono na kukukabidhi.
Iwayo yote makampuni na mashirika yote ya umma wamepewa barua hii!
Khaa, milioni ishirini kumkaribisha katibu mkuu? Kwani yeye hana bajeti yake ya hiyo safari? Sasa anayeombwa huo mchango hapo ni nani? No wonder CCM imeshindwa kudeal na mafisadi, maana hao ndiyo wanaochangia safari za akina Nape na viongozi wengine kwenda mikoani. Lakini CHADEMA wakichangisha kwenye mikutano inakuwa nongwa.
Nape tuombe radhi kwa kuuponda utaratibu wetu wa kuomba michango kwenye mikutano ilihali ninyi mnawaomba mafisadi kwa njia ya barua.
Hela zote za nini. Kwanini wasichangie kununua hata ya madawati ya watoto wanaokaa chini kuliko matumizi yasiyo na tija?
limetembezwa kuanzia juzi.
Niliwahi kufanya kazi kampuni moja ya kigeni kule Mtwara, hawa wajinga wanakuja na mibarua yao yaani tena wanalazimisha kupewa hiyo michango, na sio mara moja yaani kila tukio likitokea wao na barua za kulazimisha michango. Wanaudhi sana makenge hawa.
KUMB. NA. MTR/CCM/V.10/VOL.
CHAMA CHA IVIAPINDUZI
SIMU NA. 2333076:0FISI KUU YA CCM MKOA - MTWARA: S.L.P. 180:
Barua zote zipelekwe kwa Katibu wa Mkoa:
YAH: YAH: MAOMBI YA MCHANGO ICUSAIDIA, KATIBU MICUU WA CCM TAREHE 21.11.2012
Tafadhali husika na somo hilo hapo juu.
Kutokana na ziara ya ghafla ya Katibu Mkuu na Msafara wake wa zaidi ya watu 17 tunaomba mchango wako wa fedha kusaidia gharama za mapokezi ya Viongozi hao zinazofikia Milioni Ishirini (Tshs.20,000,000/=).
Ni matumaini yetu wewe kama mdau mwenzetu wa maendeleo utatusaidia mchango wako huo.
" KIDUMU CHAMA CHA 1VIAPINDUZI "
( R. KNY: KAT M MKOA MKOA WA MTWARA.
19/11/2C'
kweli dunia ina mambo,,,, ungeweka jina la huyo aliyeandikiwa hiyo barua ingekuwa poa sana