BAKITA ama yeyote asaidie hili

jjeremiah

Member
Jul 30, 2010
43
13
Naomba tafsiri ya maneno haya kama yapo kwenye matumizi
1) Opinion polls
2) Preferencial polls
3) Nomination polls
Nilishindwa kuelewa tofauti pale ambapo kura zile za kupendekeza wagombea katika vyama mbalimbali nchini ziliitwa kura za maoni (opinion polls) na hizi zinazoendeshwa na synovate pamoja na vyombo mbalimbali vya habari nchini pia zinaitwa kura za maoni, ndiyo maana nimepend nipate tafsiri na matumizi sahihi ya maneno hayo
 
1) Opinion polls - Kura za maoni
2) Preferencial (Preferential) polls- Kura za upendeleo
3) Nomination polls - kura za uteuzi (?)
 
Back
Top Bottom