Baki nyumbani.. Usishiriki kueneza

Wewe unayesema hivyo.
Cha ajabu kwa sasa upo mtaani unazunguka kutafuta kazi au upo likizo nyumbani.
Ila baba yako na mama yako wapo vibaruani..
Nina uhakika 100% huna KAZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua kuna mtu atasema hivyo haya upo sahihi asilimia mia moja!.Wakati mwingine tusiwe wajuaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…