Baki njia kuu, epuka Michepuko!

Hivi kuchepuka wanamaanisha tusitumie mtandao wa 0713 au?

Loh.............. kweli kazi bado ipo. Babu wanamaanisha kuwa mpende bibi peke yake, lile tendo la ndoa ulifanye na bibi peke yake. Hayo ya 0713 hawajasema labda tukawaulize hawa PSI watujibu.
 
Loh.............. kweli kazi bado ipo. Babu wanamaanisha kuwa mpende bibi peke yake, lile tendo la ndoa ulifanye na bibi peke yake. Hayo ya 0713 hawajasema labda tukawaulize hawa PSI watujibu.

Kwani ujumbe murua kama huo wauweke kwa lugha ya mafumbo?? Hao wana kampeni mbaya na 0655 walah. Na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…