Baki njia kuu, epuka Michepuko!


khe Kibonde huyo........hahahaaaaaaaaa
 

Nilisikiaga hiyo habari ya nywele zake kupukutika nikajua ni story...kumbe ni kweli! Duh!!!
 
Naona kama kelele za chura...
Vyumba vya wageni vinajaa like never before... Mitingozo ya online, simu, kwa kimboka ndo usiseme...

Kizazi hiki ni sikio la la kufa..
 
Mwanaume ukiishakuwa hujatulia kwenye njia kuu ni must uhakikishe kuwa ram yako ni zaidi ya GB 16 na processor izidi GB 2 na hard disc irrange kwenye terrebyte ili kuweza kumhandle wife just in case na hakikisha pia mwanamke wako ram yake ni less than 1 GB na processor yake iwe ndogo pia!
 
digital love... hapo unaweza kuta jamaa yuko na mtoto wa shangazi yake tu wanapiga soga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…