Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 663
etitunapakia soda tu! pombe apana na kule baa kibao.
Acha ulevi City,Ukristo wenyewe hauruhusu Ulevi.etitunapakia soda tu! pombe apana na kule baa kibao.
Mzee wa Spice kule kwenye marashi ya karafuu punguza jazba kwenye haya mambo madogomadogo tu ya michango na ukataka kumkufuru Mungu kwa hili, hapa kila mmoja anatoa mchango wake kama yamemkuta au ni uwono tuu.
Ninasafiri sana na nimeanza mda mrefu sasa hivi kupakia kizigo kidogo sana hata cha kilo10 kwenye hizi boti ni bora ukapakie kwenye ndege ukweli ndio huo.
Na huyu Bahresa fitna za biashara amezitumia kuwazamisha wenzake hata kama ni kweli kuwa vyombo vyake vipya ila na vikongwe vitupwe? hujawahi kuziona boti zilizotembea miaka 100 kwenye bahari?
Huyu sio Tajiri ni mnafiki upande mmoja na ninakwambia tena huyu jamaa mpaka leo bado hajatoka kimaisha.
Kama umetumwa Basi ushindwe na utepete.
Ningeomba tu kwamba watu wasifikirie Boat hizi ni kama zile Bus za Ubungo unakata ticket hata ukifika pale Terminal.
Zanzibar ipo vizuri kwenye utalii na pia usafiri wa boat ni watu wengi kuliko Ndege.
Sasa kila siku inashauriwa ukate Ticket mapema,sasa wewe ukitegemea kuenda kukata Tickect muda wa kuondoka unategemea nini?Na tena unabahati sana kuna watu pale nje wanauziwa tickets fake kila siku.
Mie mwenye nikitaka kusafiri kama ni weekend basi nataka siku moja kabla,kuepuka usumbufu.
Na wale wanaonunu ticket kwa kulangua hiyo sio kazi ya Kampuni hata hapo Dar kwenye Train walikuwa wanafanya hivyo kwa wale wazembe.
Miaka yote nipo Zanzibar sijawahi kukata ticket kwa kulangua kwakuwa najua wasafiri ni wengi hasa kwa boats muda fulani na siku fulani.
Kuhusu Uelewa wa Usafiri:-
Hembu uliza Kampuni ya Ndege unayosema juu ya kusafirisha hiyo Oven uone bei zao na Terms zao ni balaa.Lazima ujue namna ya kutofautisha aina ya mizigo.Ulipwaji huo ni wa kawaida na wote tunalipa kwenye baadhi ya bidhaa.
Halafu pia unaweze ku Book Tickect online bila tatizo.Sasa sioni unacholalamikia nini.
Kampuni hiyo kwa taarifa yako imejipanga vizuri kwa abiria wake,na huduma zote kwa ujumla.Na Kauli umeotoa kwamba umeambiwa sio lazima utumie boat hizo ni Uongo na utakuwa umevamia wale mateja pale mlangoni ndio wakakuzingua ili utumie Boat nyingine au wakubane.
Sasa inawezekana kwenye kusafiri na Fastjet ukafanya vituko zaidi ya hivyo.Kuna siku unaweza kusafiri Na Bata au kuku ukasema anauzito wa Handbag ili usilipe wakati kuna utaratibu wa namna ya kusafirisha.
Unavyoipeleka fikra yako basi siku zote itakukaririsha jambo au mtizamo huohuo.
Tubadilike,dunia inaenda kwa kasi sana kuliko wengi tunavyofikiria
Acha ushamba WAPONA ndio maana umeibiwa,boat haina Driver,na walikuona Zoba ndio maana ukapigwa pesa hiyo.
Labda kwa kukutaarifu tu kwa sie wazoefu wa Boats hizi,kuna siku ticket zinauzwa za boat moja na ikijaza kuna siku zinaondolewa Boats mbili kwa wakati mmoja.
Sasa kama tu unapigwa pesa hiyo 40 - 50 si bora ungeongeza kidogo ukapanda Precision Air.

Wala hunsumbui kichwa ww hondohondo unayeishi mkoani zanzibarSiwewi kukujibu,maana mtu mwenye unajiita Kigoli.sie watu wa pwani tunaitwa Mwali mchanga.
Nikikujibu nitakuwa nakuonea.Ngoja aje Lady Furaha au Masai Dada wa jinsia yako
Kwa kifupi ni kwamba, ukiambiwa tatizo, na watu karibu wote wanakubali kweli kuwa hilo ni tatizo, lakini we pekee yako ndio huoni kama hilo ni tatizo, basi tambua wewe mwenyewe ndiye tatizo. Sijaona kinachokutoa mishipa hapa wakti ni kweli hilo suala lipo na linafanywa bila uficho. Kwa nature ya mahusiano na maingiliano ya Dar-Zanzibar, ni wazi kuwa uwezekano wa kupatwa na tatizo hili ni mkubwa, si suala la u-mjini, ujuaji au ushamba au vinginevyo. Sio safari zote kati ya maeneo hayo mawili ni planned. Kuna safari za misiba watu wanaenda kuzika, kuna safari za kusafirisha wagonjwa kutoka Mnazi Mmoja hospital kwenda Dar tena zinatokea hafla; ni saa ngapi mtu utaweza kukata tiketi siku 2 au 3 nyuma?We kweli mnafiki wa Mungu.
Hivi unajua ni nani analeta Boats Brand New kwa safari ya Dar-Znz-Pba zaidi ya AZAM MARINE.
Watu wanashindana kwa ubora na sio porojo kama zako.Kwani umelazimishwa kupanda?
Kuna Sea Express na Seastar nk,mbona hamuendi kwenye boat zao.
Ubora unajiuza nyie acheni maisha ya kubahatisha.
Ni sawa na kuona baada ya muda Kituo Cha AZAM TV kinafunika utakuja kusema anafanya fitna,wakati amegharamia more than 50 Billions kuwekeza kwenye AZAM MEDIA.Sasa unategemea hao wa vituo vyetu vya kuungaunga watagusa.
Kuna watu kwenye Biashara zao wanatumia muda mwingi kujipanga kuja tofauti,wana keep time kwanza kukusanya nguvu.
Nyie mmeozoea kupanda boat za usiku mkijambiana usiku mzima mnatabu sana.Hii ndio side effect yake sasa
Acha ushamba WAPONA ndio maana umeibiwa,boat haina Driver,na walikuona Zoba ndio maana ukapigwa pesa hiyo.
Labda kwa kukutaarifu tu kwa sie wazoefu wa Boats hizi,kuna siku ticket zinauzwa za boat moja na ikijaza kuna siku zinaondolewa Boats mbili kwa wakati mmoja.
Sasa kama tu unapigwa pesa hiyo 40 - 50 si bora ungeongeza kidogo ukapanda Precision Air.
Kituo kikuu cha Polisi malindi kipo meter 100 kutoka Bandarini.
Sasa mlionunua tickets za magendo na waliowauzia nani wa kulaumiwa?
Yaani nisawa na mtoa rushwa na mpokeaji.
Scumbag!!! Mtoa mada hata hajasema yeye ni dini gani wala post yake haihusiani kabisa na mambo ya dini...
Na huyo Dangote kwani pia si muislamu? Acha upuuzi.JiJ
Halafu haohao ndio wanasema Dini yao ni ya haki ilihali hawatendi hakiWana JF kama nitakosea naomba kuelimishwa, ninavyojua mimi abiria iwe wa ndege au boat hizi,
Mzigo hitajika ni kg isiyozidi 20, sasa mimi nimesafiri toka Zanziber kwenda Dar nimenunua oven yangu ndogo tu na isiozidi kg 15, nikahitajika kulipia elf 10.
Na ukifika hata asubuhi pale ofisini kutaka ticket ya bei ya kawaida 23,000 unaambiwa zimeisha, ila zipo zinauzwa nje kwa Tshs 50,000, yaani ni watu wamezinunua kisha wanauza kwa magendo.
Nilivyo lalamika zaidi nilijibiwa sio lazima kutumia chombo hicho...
Haya kwangu niliona ni manyanyaso makubwa...na sijui kama mmliki ambaye ni Bakharesa anafahamu unyama huu wa wafanyakazi wake..
Naomba Bakheresa pale ulivyo chunguza tuhuma hizi, imekuwa ni kero sana.
Hili la TICKET hata kwenye mabasi linafanyika wakati wa high seasons ambazo zina wasafiri wengi... NIMEWAHI KUFANYIWA HIVYO DAR - ARUSHA na KAHAMA - DARWana JF kama nitakosea naomba kuelimishwa, ninavyojua mimi abiria iwe wa ndege au boat hizi,