Bakhressa na Boats za Dar -Zanzibar

Bakhressa na Boats za Dar -Zanzibar

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,203
Reaction score
1,001
Wana JF kama nitakosea naomba kuelimishwa, ninavyojua mimi abiria iwe wa ndege au boat hizi,

Mzigo hitajika ni kg isiyozidi 20, sasa mimi nimesafiri toka Zanziber kwenda Dar nimenunua oven yangu ndogo tu na isiozidi kg 15, nikahitajika kulipia elf 10.

Na ukifika hata asubuhi pale ofisini kutaka ticket ya bei ya kawaida 23,000 unaambiwa zimeisha, ila zipo zinauzwa nje kwa Tshs 50,000, yaani ni watu wamezinunua kisha wanauza kwa magendo.

Nilivyo lalamika zaidi nilijibiwa sio lazima kutumia chombo hicho...

Haya kwangu niliona ni manyanyaso makubwa...na sijui kama mmliki ambaye ni Bakharesa anafahamu unyama huu wa wafanyakazi wake..

Naomba Bakheresa pale ulivyo chunguza tuhuma hizi, imekuwa ni kero sana.
 
dah kama ni kweli basi kuna umuhimu dangote ahamie tz,mnyooshe bakhresa na ubaguzi wao wa kidini
 
Hao waliozinunua na kuuza kwa magendo ni wafanyakazi wa hapo au watu wengine tu? isijekua zimeisha kweli, hata kama walionunua wanauza nje kwa kuficha. Ilibidi ukaripoti kwa wahusika ili kama hao wanaouza nje ni wezi wachukuliwe hatua.
 
Hii issue nafikiri Bakheresa haijui, ila ni muhimu sana kuhakiki mambo haya apeleke watu wake achunguze tuhuma hizi...
 
Jana watu zaidi ya 50 wamefoleni nje ili wauziwe ticket elf 50, ukiuliza ndani zimekwisha..ni kero ambazo hazivumiliki jaman
 
dah kama ni kweli basi kuna umuhimu dangote ahamie tz,mnyooshe bakhresa na ubaguzi wao wa kidini

Scumbag!!! Mtoa mada hata hajasema yeye ni dini gani wala post yake haihusiani kabisa na mambo ya dini...
Na huyo Dangote kwani pia si muislamu? Acha upuuzi.
 
Mkuu hili la tiketi za kuruka Lopo sana na limekithiri sana kwa boats za Azam. Mwanzo ilikuwa upande wa Unguja lakini sasa limehamia na Dar pia. Wale wafanyakazi wa Azam marines wanalifahamu na ndio wahusika wakuu. Kwani ukishanunua ni hao hao wana tumika kubadilisha majina na taratibu nyingine. Mambo haya ni kama enzi zile za tiketi za Reli ya Kati. Ni utapeli mtupu. Serikali nayo ni kama haioni, sijui inteligensia yetu hapa haifiki au?
 
Tanzania we lack something calles QOS management. Ndo maana mpaka leo some issues zinafail. Bakhresa ni kampuni kubwa sana na mchezo kama huo kutokea ni aibu kubwa. alikua anatakiwa kuwa na watu wake wakufatilia kama huduma inatolewa kama inavyotakiwa i wonder kama hawa watu hawapo unless mleta mada anataka mchafua aila kama hawapo ni aibu kwa kampuni kubwa kama hiyo kuingia kwenye kashfa ya namna hiyo
 
Kama umetumwa Basi ushindwe na utepete.

Ningeomba tu kwamba watu wasifikirie Boat hizi ni kama zile Bus za Ubungo unakata ticket hata ukifika pale Terminal.
Zanzibar ipo vizuri kwenye utalii na pia usafiri wa boat ni watu wengi kuliko Ndege.
Sasa kila siku inashauriwa ukate Ticket mapema,sasa wewe ukitegemea kuenda kukata Tickect muda wa kuondoka unategemea nini?Na tena unabahati sana kuna watu pale nje wanauziwa tickets fake kila siku.

Mie mwenye nikitaka kusafiri kama ni weekend basi nataka siku moja kabla,kuepuka usumbufu.
Na wale wanaonunu ticket kwa kulangua hiyo sio kazi ya Kampuni hata hapo Dar kwenye Train walikuwa wanafanya hivyo kwa wale wazembe.
Miaka yote nipo Zanzibar sijawahi kukata ticket kwa kulangua kwakuwa najua wasafiri ni wengi hasa kwa boats muda fulani na siku fulani.
Kuhusu Uelewa wa Usafiri:-
Hembu uliza Kampuni ya Ndege unayosema juu ya kusafirisha hiyo Oven uone bei zao na Terms zao ni balaa.Lazima ujue namna ya kutofautisha aina ya mizigo.Ulipwaji huo ni wa kawaida na wote tunalipa kwenye baadhi ya bidhaa.
Halafu pia unaweze ku Book Tickect online bila tatizo.Sasa sioni unacholalamikia nini.

Kampuni hiyo kwa taarifa yako imejipanga vizuri kwa abiria wake,na huduma zote kwa ujumla.Na Kauli umeotoa kwamba umeambiwa sio lazima utumie boat hizo ni Uongo na utakuwa umevamia wale mateja pale mlangoni ndio wakakuzingua ili utumie Boat nyingine au wakubane.
Sasa inawezekana kwenye kusafiri na Fastjet ukafanya vituko zaidi ya hivyo.Kuna siku unaweza kusafiri Na Bata au kuku ukasema anauzito wa Handbag ili usilipe wakati kuna utaratibu wa namna ya kusafirisha.

Unavyoipeleka fikra yako basi siku zote itakukaririsha jambo au mtizamo huohuo.
Tubadilike,dunia inaenda kwa kasi sana kuliko wengi tunavyofikiria
 
Na wewe kama umetumwa ushindwe...
 
Kama ni mfanyakazi katika hizo boat,.inabidi usafishwe kabisa, kama majibu yenyewe ndo haya basi hata huduma zenu zimeanza kuwa mbofumbofu, jirekebisheni
 
Biashara ni taaluma za watu! Unaleta mambo ya online hapa,unfikiri watanzania woote wanaaccess ya mtandao! Ujinga ulioje huu. Suala ni wahusika wafanyie kazi hili suala kwa maslahi ya good emage ya kampuni. Kwenye kusafirisha mzigo unaweza ukawa sahihi maana kila hawa na price policy yao kulingana na uwezo na ukubwa wa chombo.
 
tatizo ni boat za bakhresa tu hakuna boat za kampuni nyingine za mwendo kasi, kuna 1 inaitwa royal hii ikikaa majini ni wiki inakuwa mbovu, fungua site yao utume malalamiko hayo, ila kukujibu sijui, wamekaa ka precision air, ukijibiwa basi katafute bata mwekundu
 
Kweli wengi wetu tunasafiri tu.Kumbe uelewa wenyewe wa wetu ndio huu kwenye vyombo vya usafiri kaaaaaaazi kweli.
Wenzetu wakenya wanaingia kwenye kulipia Daladala kwenye mfumo wa kisasa leo hii unalalamika kwenye vyombo vikubwa vya usafiri.Ikija Darts zijui itakiwaje
Halafu unasema unaishi mjini.Mkija mjini muulize.
Kuna wenzio walikuja huku kwa style kama yako wakataka kusafiri usiku wakapelekwa Msikiti mablue ule umeojengwa juu ya maji wakaambiwa Boat,wakakaa mpaka alfajiri watu wakala nauli wakasepa.

Mleta mada we sema tu kwamba mambo ya vyombo vya usafiri bado hujawa na uzoefu nayo.Simple like that
 
Kwa uelewa wangu huwezi kununua ticket bila kitambulisho, na inaandikwa jina lako ambavyo vinakaguliwa ukiingia geti la kupandia boti, ivyo nashindwa kuelewa mtu unawezaje kununua ticket ya mtu na kurusiwa kupita getini ikiwa haina jina lako halisi
 
Bakhressa fanyia kazi malalamiko ya Wateja.ndo wanakuweka mjini usidharau.
 
Back
Top Bottom