Bakhressa na Boats za Dar -Zanzibar

Bakhressa na Boats za Dar -Zanzibar

ngoja nimwambie mkuu wao atume vijana waweke mtego.
 
Kama umetumwa Basi ushindwe na utepete.

Ningeomba tu kwamba watu wasifikirie Boat hizi ni kama zile Bus za Ubungo unakata ticket hata ukifika pale Terminal.
Zanzibar ipo vizuri kwenye utalii na pia usafiri wa boat ni watu wengi kuliko Ndege.
Sasa kila siku inashauriwa ukate Ticket mapema,sasa wewe ukitegemea kuenda kukata Tickect muda wa kuondoka unategemea nini?Na tena unabahati sana kuna watu pale nje wanauziwa tickets fake kila siku.

Mie mwenye nikitaka kusafiri kama ni weekend basi nataka siku moja kabla,kuepuka usumbufu.
Na wale wanaonunu ticket kwa kulangua hiyo sio kazi ya Kampuni hata hapo Dar kwenye Train walikuwa wanafanya hivyo kwa wale wazembe.
Miaka yote nipo Zanzibar sijawahi kukata ticket kwa kulangua kwakuwa najua wasafiri ni wengi hasa kwa boats muda fulani na siku fulani.
Kuhusu Uelewa wa Usafiri:-
Hembu uliza Kampuni ya Ndege unayosema juu ya kusafirisha hiyo Oven uone bei zao na Terms zao ni balaa.Lazima ujue namna ya kutofautisha aina ya mizigo.Ulipwaji huo ni wa kawaida na wote tunalipa kwenye baadhi ya bidhaa.
Halafu pia unaweze ku Book Tickect online bila tatizo.Sasa sioni unacholalamikia nini.

Kampuni hiyo kwa taarifa yako imejipanga vizuri kwa abiria wake,na huduma zote kwa ujumla.Na Kauli umeotoa kwamba umeambiwa sio lazima utumie boat hizo ni Uongo na utakuwa umevamia wale mateja pale mlangoni ndio wakakuzingua ili utumie Boat nyingine au wakubane.
Sasa inawezekana kwenye kusafiri na Fastjet ukafanya vituko zaidi ya hivyo.Kuna siku unaweza kusafiri Na Bata au kuku ukasema anauzito wa Handbag ili usilipe wakati kuna utaratibu wa namna ya kusafirisha.

Unavyoipeleka fikra yako basi siku zote itakukaririsha jambo au mtizamo huohuo.
Tubadilike,dunia inaenda kwa kasi sana kuliko wengi tunavyofikiria

Acha upuuzi wako nilikuwa zenj jumamosi ikaenda jioni kukata tiketi ya jumapili boti ya jioni na nikamkuta supervisor pale akasema jumapili boti ya mchana na jioni zote zimejaa!! Nikalanguliwa elfu 40.Kesho yake jumapili boti ikachelewa kuondoka kisa idadi kubwa ya abiria waliokata tiketi hawajapanda!! Na bahati nzuri yule supervisor alipanda nae kurudi Bongo!! Nikamuuliza na kwa sauti ya hasira si mlisema tiketi zimeisha na hizo ambazo mnauza saa hii na muda wa kuondoka boti tayari mmezitoa wapi?.Ikawa zogo na Diver wakaingilia kati kumtetea! Ni mchezo wa wafanyakazi ili kujipatia kipato!! Badilikeni au salary inawezekana kiduchu!!
 
Bora useme wewe SPONSORED, kiukweli hali si nzuri Usafiti wa Zanziber, na kama ni uwongo zichunguzwe hizi tuhuma na muhusika.
 
BAKHERESA TUNAKUHESHIMU SANA, Hasa kwa utoaji wa ajira nchini, Ila kama haumini, tuma watu wako kwa siri, haswa hali hii ipo apa DSM tofauti na unguja.
 
Acha upuuzi wako nilikuwa zenj jumamosi ikaenda jioni kukata tiketi ya jumapili boti ya jioni na nikamkuta supervisor pale akasema jumapili boti ya mchana na jioni zote zimejaa!! Nikalanguliwa elfu 40.Kesho yake jumapili boti ikachelewa kuondoka kisa idadi kubwa ya abiria waliokata tiketi hawajapanda!! Na bahati nzuri yule supervisor alipanda nae kurudi Bongo!! Nikamuuliza na kwa sauti ya hasira si mlisema tiketi zimeisha na hizo ambazo mnauza saa hii na muda wa kuondoka boti tayari mmezitoa wapi?.Ikawa zogo na Diver wakaingilia kati kumtetea! Ni mchezo wa wafanyakazi ili kujipatia kipato!! Badilikeni au salary inawezekana kiduchu!!

Hapa kweli itakuwa salary kiduchu, maana sanaa nyingi sana pale, tena mkata ticket jana asubuhi baada ya kuniambia zimekwisha, akaanza kuninong'oneza nifaate wale Askari wa 2 pale mlangoni..kisha wao sasa wanakuitia jamaa wanakibanda pembeni mwa mlango kulia wakati wa kuingia,, ndio wanaongea bila aibuu Elfu 50 mzee.
 
Kiukweli bshresa sasa amekuwa anataka watu wamsujudie baada ya kufanya mbinu zake anazozijua ili aweze kubaki peke yake kwenye hili la usafiri wa majini znz-dar
 
Kama umetumwa Basi ushindwe na utepete.

Ningeomba tu kwamba watu wasifikirie Boat hizi ni kama zile Bus za Ubungo unakata ticket hata ukifika pale Terminal.
Zanzibar ipo vizuri kwenye utalii na pia usafiri wa boat ni watu wengi kuliko Ndege.
Sasa kila siku inashauriwa ukate Ticket mapema,sasa wewe ukitegemea kuenda kukata Tickect muda wa kuondoka unategemea nini?Na tena unabahati sana kuna watu pale nje wanauziwa tickets fake kila siku.

Mie mwenye nikitaka kusafiri kama ni weekend basi nataka siku moja kabla,kuepuka usumbufu.
Na wale wanaonunu ticket kwa kulangua hiyo sio kazi ya Kampuni hata hapo Dar kwenye Train walikuwa wanafanya hivyo kwa wale wazembe.
Miaka yote nipo Zanzibar sijawahi kukata ticket kwa kulangua kwakuwa najua wasafiri ni wengi hasa kwa boats muda fulani na siku fulani.
Kuhusu Uelewa wa Usafiri:-
Hembu uliza Kampuni ya Ndege unayosema juu ya kusafirisha hiyo Oven uone bei zao na Terms zao ni balaa.Lazima ujue namna ya kutofautisha aina ya mizigo.Ulipwaji huo ni wa kawaida na wote tunalipa kwenye baadhi ya bidhaa.
Halafu pia unaweze ku Book Tickect online bila tatizo.Sasa sioni unacholalamikia nini.

Kampuni hiyo kwa taarifa yako imejipanga vizuri kwa abiria wake,na huduma zote kwa ujumla.Na Kauli umeotoa kwamba umeambiwa sio lazima utumie boat hizo ni Uongo na utakuwa umevamia wale mateja pale mlangoni ndio wakakuzingua ili utumie Boat nyingine au wakubane.
Sasa inawezekana kwenye kusafiri na Fastjet ukafanya vituko zaidi ya hivyo.Kuna siku unaweza kusafiri Na Bata au kuku ukasema anauzito wa Handbag ili usilipe wakati kuna utaratibu wa namna ya kusafirisha.

Unavyoipeleka fikra yako basi siku zote itakukaririsha jambo au mtizamo huohuo.
Tubadilike,dunia inaenda kwa kasi sana kuliko wengi tunavyofikiria

Wanakuharibia dil.?
 
Acha upuuzi wako nilikuwa zenj jumamosi ikaenda jioni kukata tiketi ya jumapili boti ya jioni na nikamkuta supervisor pale akasema jumapili boti ya mchana na jioni zote zimejaa!! Nikalanguliwa elfu 40.Kesho yake jumapili boti ikachelewa kuondoka kisa idadi kubwa ya abiria waliokata tiketi hawajapanda!! Na bahati nzuri yule supervisor alipanda nae kurudi Bongo!! Nikamuuliza na kwa sauti ya hasira si mlisema tiketi zimeisha na hizo ambazo mnauza saa hii na muda wa kuondoka boti tayari mmezitoa wapi?.Ikawa zogo na Diver wakaingilia kati kumtetea! Ni mchezo wa wafanyakazi ili kujipatia kipato!! Badilikeni au salary inawezekana kiduchu!!

Acha ushamba WAPONA ndio maana umeibiwa,boat haina Driver,na walikuona Zoba ndio maana ukapigwa pesa hiyo.
Labda kwa kukutaarifu tu kwa sie wazoefu wa Boats hizi,kuna siku ticket zinauzwa za boat moja na ikijaza kuna siku zinaondolewa Boats mbili kwa wakati mmoja.
Sasa kama tu unapigwa pesa hiyo 40 - 50 si bora ungeongeza kidogo ukapanda Precision Air.
 
Kwani haiwezi kuwa ni siri ya kampuni yaani Bakhresa naye akijua kitu kama hiki akakaa kimya ilimradi pesa inaongezeka. Naomba usiamini mfanyabiashara yoyote. Kwao wao fadha kwanza na utu baadae.
 
Kiukweli bshresa sasa amekuwa anataka watu wamsujudie baada ya kufanya mbinu zake anazozijua ili aweze kubaki peke yake kwenye hili la usafiri wa majini znz-dar

We kweli mnafiki wa Mungu.
Hivi unajua ni nani analeta Boats Brand New kwa safari ya Dar-Znz-Pba zaidi ya AZAM MARINE.
Watu wanashindana kwa ubora na sio porojo kama zako.Kwani umelazimishwa kupanda?
Kuna Sea Express na Seastar nk,mbona hamuendi kwenye boat zao.
Ubora unajiuza nyie acheni maisha ya kubahatisha.
Ni sawa na kuona baada ya muda Kituo Cha AZAM TV kinafunika utakuja kusema anafanya fitna,wakati amegharamia more than 50 Billions kuwekeza kwenye AZAM MEDIA.Sasa unategemea hao wa vituo vyetu vya kuungaunga watagusa.
Kuna watu kwenye Biashara zao wanatumia muda mwingi kujipanga kuja tofauti,wana keep time kwanza kukusanya nguvu.
Nyie mmeozoea kupanda boat za usiku mkijambiana usiku mzima mnatabu sana.Hii ndio side effect yake sasa
 
Kama umetumwa Basi ushindwe na utepete.

Ningeomba tu kwamba watu wasifikirie Boat hizi ni kama zile Bus za Ubungo unakata ticket hata ukifika pale Terminal.
Zanzibar ipo vizuri kwenye utalii na pia usafiri wa boat ni watu wengi kuliko Ndege.
Sasa kila siku inashauriwa ukate Ticket mapema,sasa wewe ukitegemea kuenda kukata Tickect muda wa kuondoka unategemea nini?Na tena unabahati sana kuna watu pale nje wanauziwa tickets fake kila siku.

Mie mwenye nikitaka kusafiri kama ni weekend basi nataka siku moja kabla,kuepuka usumbufu.
Na wale wanaonunu ticket kwa kulangua hiyo sio kazi ya Kampuni hata hapo Dar kwenye Train walikuwa wanafanya hivyo kwa wale wazembe.
Miaka yote nipo Zanzibar sijawahi kukata ticket kwa kulangua kwakuwa najua wasafiri ni wengi hasa kwa boats muda fulani na siku fulani.
Kuhusu Uelewa wa Usafiri:-
Hembu uliza Kampuni ya Ndege unayosema juu ya kusafirisha hiyo Oven uone bei zao na Terms zao ni balaa.Lazima ujue namna ya kutofautisha aina ya mizigo.Ulipwaji huo ni wa kawaida na wote tunalipa kwenye baadhi ya bidhaa.
Halafu pia unaweze ku Book Tickect online bila tatizo.Sasa sioni unacholalamikia nini.

Kampuni hiyo kwa taarifa yako imejipanga vizuri kwa abiria wake,na huduma zote kwa ujumla.Na Kauli umeotoa kwamba umeambiwa sio lazima utumie boat hizo ni Uongo na utakuwa umevamia wale mateja pale mlangoni ndio wakakuzingua ili utumie Boat nyingine au wakubane.
Sasa inawezekana kwenye kusafiri na Fastjet ukafanya vituko zaidi ya hivyo.Kuna siku unaweza kusafiri Na Bata au kuku ukasema anauzito wa Handbag ili usilipe wakati kuna utaratibu wa namna ya kusafirisha.

Unavyoipeleka fikra yako basi siku zote itakukaririsha jambo au mtizamo huohuo.
Tubadilike,dunia inaenda kwa kasi sana kuliko wengi tunavyofikiria
Ua the most Idiot guy here.Nilidhan unajibu kama mfanyakaz wa Azam kumbe ni abiria.
 
Nakuunga mkono mtoa mada huo wizi uko kote bara na Unguja. Na wao wanakuambia hasa siku kama jumapili. Mimi pia nilisafiri jumapili ile bot ya jioni kutoka unguja kuja Dar na ninakumbuka ilichelewa kuodnoka na watu walijaa mpaka walisimama mle ndani. Ticket zote ziliisha toka Jumamosi zimeshikiliwa na hao Madalali wanauza ticket ya kukaa economy (23,000) kama VIP na unakaa huko economy ambako watu wamejaa vibaya hakuna hewa, joto. Kwakweli inasikitisha na ninafikiri huyo muhusika asipochukua hatua wanamuharibia biashara yake. Wale madalali wananunua ticket na majina tofauti, then wakikuuzia wewe wanajuana na wale wanaokagua ticket na kitambulisho pale mlangoni. Hakuna jinsi inabidi ulipe tu, ticket ziko mikononi mwao na wanakuhamasisha usisumbuke ticket zimeisha ila wao ndio wanazo kwa bei kubwa. hao watu wanaoandika kutetea ndio wahusika wa huo mchezo.
 
Kweli wengi wetu tunasafiri tu.Kumbe uelewa wenyewe wa wetu ndio huu kwenye vyombo vya usafiri kaaaaaaazi kweli.
Wenzetu wakenya wanaingia kwenye kulipia Daladala kwenye mfumo wa kisasa leo hii unalalamika kwenye vyombo vikubwa vya usafiri.Ikija Darts zijui itakiwaje
Halafu unasema unaishi mjini.Mkija mjini muulize.
Kuna wenzio walikuja huku kwa style kama yako wakataka kusafiri usiku wakapelekwa Msikiti mablue ule umeojengwa juu ya maji wakaambiwa Boat,wakakaa mpaka alfajiri watu wakala nauli wakasepa.

Mleta mada we sema tu kwamba mambo ya vyombo vya usafiri bado hujawa na uzoefu nayo.Simple like that

We kweli mpemba wa Kojani,hao DART wanaruhusu kukatia tiket kituoni
 
uyo zanzibar spice ajui lolote. na kwanzia leo uelewe kuwa usafili rahisi duniani ni wa maji. contena full toka dubai mpaka dar nidora kidogo. iwe apo zenji? pili sio tu bei ghali. mimi nimewahi kataliwa kusafilisha vinwaji vya vileo. sasa nauliza mamlaka inayotoa leseni. je leseni ilioipa iyo kampuni inaruhusu ubaguzi huu kwa uma?. je si chombokinachohudumia watanzania wote? ata ukibeba bia mbili za kopo uluhusiwi utadhani mleni ni nyumba ni nyumba ya ibada. sio sawa tuudumiwe sawa. ni chombo salama kituudumie watu na mali zetu.
 
Wana JF kama nitakosea naomba kuelimishwa, ninavyojua mimi abiria iwe wa ndege au boat hizi,

Mzigo hitajika ni kg isiyozidi 20, sasa mimi nimesafiri toka Zanziber kwenda Dar nimenunua oven yangu ndogo tu na isiozidi kg 15, nikahitajika kulipia elf 10.

Na ukifika hata asubuhi pale ofisini kutaka ticket ya bei ya kawaida 23,000 unaambiwa zimeisha, ila zipo zinauzwa nje kwa Tshs 50,000, yaani ni watu wamezinunua kisha wanauza kwa magendo.

Nilivyo lalamika zaidi nilijibiwa sio lazima kutumia chombo hicho...

Haya kwangu niliona ni manyanyaso makubwa...na sijui kama mmliki ambaye ni Bakharesa anafahamu unyama huu wa wafanyakazi wake..

Naomba Bakheresa pale ulivyo chunguza tuhuma hizi, imekuwa ni kero sana.

Nitakua nauza mwenyewe pale tazara
 
uyo zanzibar spice ajui lolote. na kwanzia leo uelewe kuwa usafili rahisi duniani ni wa maji. contena full toka dubai mpaka dar nidora kidogo. iwe apo zenji? pili sio tu bei ghali. mimi nimewahi kataliwa kusafilisha vinwaji vya vileo. sasa nauliza mamlaka inayotoa leseni. je leseni ilioipa iyo kampuni inaruhusu ubaguzi huu kwa uma?. je si chombokinachohudumia watanzania wote? ata ukibeba bia mbili za kopo uluhusiwi utadhani mleni ni nyumba ni nyumba ya ibada. sio sawa tuudumiwe sawa. ni chombo salama kituudumie watu na mali zetu.
Ukiandika kwanza uwe mzoefu wa Smart phone,maana sijakuelewa hata moja mnyamwezi wewe
 
We kweli mnafiki wa Mungu.
Hivi unajua ni nani analeta Boats Brand New kwa safari ya Dar-Znz-Pba zaidi ya AZAM MARINE.
Watu wanashindana kwa ubora na sio porojo kama zako.Kwani umelazimishwa kupanda?
Kuna Sea Express na Seastar nk,mbona hamuendi kwenye boat zao.
Ubora unajiuza nyie acheni maisha ya kubahatisha.
Ni sawa na kuona baada ya muda Kituo Cha AZAM TV kinafunika utakuja kusema anafanya fitna,wakati amegharamia more than 50 Billions kuwekeza kwenye AZAM MEDIA.Sasa unategemea hao wa vituo vyetu vya kuungaunga watagusa.
Kuna watu kwenye Biashara zao wanatumia muda mwingi kujipanga kuja tofauti,wana keep time kwanza kukusanya nguvu.
Nyie mmeozoea kupanda boat za usiku mkijambiana usiku mzima mnatabu sana.Hii ndio side effect yake sasa

Mzee wa Spice kule kwenye marashi ya karafuu punguza jazba kwenye haya mambo madogomadogo tu ya michango na ukataka kumkufuru Mungu kwa hili, hapa kila mmoja anatoa mchango wake kama yamemkuta au ni uwono tuu.

Ninasafiri sana na nimeanza mda mrefu sasa hivi kupakia kizigo kidogo sana hata cha kilo10 kwenye hizi boti ni bora ukapakie kwenye ndege ukweli ndio huo.

Na huyu Bahresa fitna za biashara amezitumia kuwazamisha wenzake hata kama ni kweli kuwa vyombo vyake vipya ila na vikongwe vitupwe? hujawahi kuziona boti zilizotembea miaka 100 kwenye bahari?

Huyu sio Tajiri ni mnafiki upande mmoja na ninakwambia tena huyu jamaa mpaka leo bado hajatoka kimaisha.
 
Ua the most Idiot guy here.Nilidhan unajibu kama mfanyakaz wa Azam kumbe ni abiria.
Siwewi kukujibu,maana mtu mwenye unajiita Kigoli.sie watu wa pwani tunaitwa Mwali mchanga.
Nikikujibu nitakuwa nakuonea.Ngoja aje Lady Furaha au Masai Dada wa jinsia yako
 
Back
Top Bottom