Naona mpemba kaamua kuandika kilugha cha kipemba....
Hiki sio kipemba
Naona mpemba kaamua kuandika kilugha cha kipemba....
kwa mfano km wapi hamjafahamu ili niwafanulie zaid ? nakubali uandish mbovu mana natumia cm cm wenyewe tecno ya kichina nawaomben mnisamehe km nimewachosha lakini lengo langu ujumbe ufike tu . Kuna watu sio hawajafaham lakin tu wanataka kukejeli lakin mi nishawasamehe.
hahahaha@bwana kikulachochako.kweli anacho ogea turufudume....km upo krb na said salim bakharesa fikisha kilio chao.
Hapana ni Mario PuzoHivi the last Don ni Sydney Sheldon?
Kwa zile karafuu mnazouza SMZ anzisheni ushirika wa wakulima.baada ya miaka miwili kwa msaada wa PBZ mnaweza pata meli mpya kabisa kwa abiria na mizigo.Baada ya miaka mitano deni linakwisha..achaneni na mambo ya kutegemea watu.kwa mfano km wapi hamjafahamu ili niwafanulie zaid ? nakubali uandish mbovu mana natumia cm cm wenyewe tecno ya kichina nawaomben mnisamehe km nimewachosha lakini lengo langu ujumbe ufike tu . Kuna watu sio hawajafaham lakin tu wanataka kukejeli lakin mi nishawasamehe.
ishu mi nadhan ni mawimbi ya nungwi, hivyo zile boti zingine n ndogo hazitahimili mikiki ya pale so sealink ndo chombo muafaka, pia liko moja so kuna siku halitakuepo ili lipelekwe service.
Kwa yeyote ambae yupo karibu nå mfanya biashara huyu namuomba amfikishie kilio chetu kwa niaba ya wapemba wote. Muheshimiwa BAKHRESA unasifiwa sana kama unawasaidia wanyonge hill lipo wazi kila mtu analiona, lakin kwa upande wetu wapemba bado msaada wako no kero kwetu , usafiri kati ya Unguja nå Pemba ni shida sana sana sana nå unalijuwa hili lakini kwa ukorofi wako au watendaji wako badala ya kutusaidia umezidi kutukandamiza , kwa mfano una speed bot zaid ya saba lakin hakuna hata moja inayofanya kazi kati ya Unguja nå Pemba, boti zako zote ni Unguja nå Dar tu umefikia kutowa ofa ya 16000 badala ya 23000 kati ya Unguja nå Dar kwa boti yako ya seabus 3 lakini hutaki kuipeleka Pemba kwa 30000 ili nå wapemba wapate angalau kujipumbaza. Umetuletea meli ya SEALINK1 nå ukasema ni kwa ajili ya wapemba badala yake baada ya kutukombowa imezid kutudhalilisha kwa mfano meli hoi inakuja Pemba Mara mbili kwa wiki lakin ukitaka ticket ni lazima ukate siku tatu kabla ya safari nå hivo ikienda kukata ticket unaweza ukauziwa Mara mbili ya bei halali nå wafanyakazi wako , hili Tisa kumi meli hii(SEALINK1) inauwezo wa kutembea kwa Massa manne kati ya Unguja nå Pemba lakini inatembea kwa zaid ya Massa 7 kati ya Unguja nå Pemba ili tu upate kuuza biashara yako ya vyakula nå vinywaji kwenye meli yako tena bila ya huruma hujali mule muna wagonjwa wanawah hospitali muna watu wamefiliwa wanawahi mazikoni n.k.Kwa niiaba ya Wapemba wote tunakuomba utuangalie kwa jicho LA huruma mama Wapemba hatuna mtetez serekali imeamuwa kututenga kwa kuamini kuwa wapemba ni wapinzani ingawa said ya %75 ya uchumi wa Zanziba unategemeaa kisiwa cha Pemba lakin huduma zote zinapelekwa Unguja nå kukiacha kisiwa cha Pemba kam yatima. Ukitizama meli za abiria zinazokuja Pemba at a kupakia mbwa wako kama unampenda huwezi lakin kwa vile hatuna nyengine nå tulioweng hatuna uwezo wa kupanda ndege basis tuna fikichana umomo kwenye mameli mabovi. SKU hizi kama uko dareslsm unataka kuja Pemba no lazima ulale unguja SKU ya pili ndio. utizame rehma ya mungu km kuna jahazi km kuna day mashua chochote kile ndo ufike Pemba ili mradi wapemb typo mashakani tu lakini INSHAALLAH MUNGU NDIO MUWEZA.
Ase huyu jamaa ameamua kutuadhibu, uandishi gani huo!!!!
Umeandika lugha gani hii!
Wengine famefiliwa wanawah mazikon.......