BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,028
.
Lakini fact lazima iwe na ushahidi wa kuback up hiyo fact au unasemaje? Sasa umeshindwa hipi kulitaja jina la huyo mheshimiwa ambaye aliamua hao wafanyabiashara wasamehewe hizo kodi?
Nafahamu wewe siyo mfanyakazi wa TRA lakini uliposema kuwa ni fact inamaana kuwa unazo data za kutosha kuback up maneno yako au vipi?Kuhusu Manji sidhani kama iapofika suala la kodi ni responsibility yake kuwajibu magazeti. Yeye kama mfanyabiashara mlipa kodi responsibility yake iko kwa TRA.je waweaa kunijibu:
Je hao TRA wanamdai kiasi gani?
Je agreement ya kulipa kodi zake kwa TRA zinasemaje?
Je aligoma kulipa Kodi?
Kiasi gani?
Je TRA wameshamshitaki?
Kuhusu magodowan yake ni kweli anaweza akawa aliyauza lakini kwa hasara je hapo serikali inasemaje? hivi mfano kama TRA walikadiria kila Godown atakuwa kaliuza kwa shilingi 100/ lakini akayauza kwa shili 20/ je bado kuna uhalali gani wa kumdau kodi ya shilingi 5,000/?
Mfanya biashara yoyote yule anayo haki ya despute bill anayoletewa kama anao ushahidi wa kuonyesha kuwa bill siyo halali sasa sioni tatizo la Manji kupinga kulipa hiyo bill ya 1.3 billion. Ndio maana nikasema kuwa kama hakuna TRANSPARENCY toka kwa TRA wenyewe tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu matokeo yake tunajadiliana bila ya kuwa na data za kuback up arguments zetu
Je unaweza kutuletea TRA tax rates au codes ili walau tuwe na pakuanzia?
Credibility ya media yetu naweza kukuhakikishia ni nothing but ZERO! Je unajua kama JAMBO FORUMS ina more credibility kuliko media ya Tanzania? mambo mangapi umeyasoma humu ambayo magazeti yameshindwa kuyaandika? Je unajua magazeti mangapi yameshitakiwa kwa kuandika uzushi bila kuwa na ushahidi wa kutosha? kama nilivyokuambia when it comes to tax matters MANJI is answerable to TRA and not THIS DAY, UHURU and RAHA LEO to name a few
Waulize Watanzania kama wangeyajua ya Mkapa kufanya biashara akiwa Ikulu kama sio magazeti, waulize Watanzania kama wangejua kashfa nzito dhidi ya Richmond, BOT, Buzwagi na mengineyo mengi kama siyo magazeti ya Tanzania. Sasa itakuwaje magazeti yaliyoandika kashfa mbali mbali dhidi ya viongozi wa juu ndani ya sirikali na hadi hii leo hakuna yeyote katika uongozi huo aliyethubutu kukanusha habario hizo. Kama wewe unaona credibility ya Magazeti ni ZERO hayo ni maoni yako, lakini kwa Watanzania wengi wasingejua uchafu mwingi uliofanywa na unaoendelea kufanywa na viongozi wa juu wa CCM na sirikali kama sio magazeti.
Hayo maswali yako mengi yanajirudia rudua na sina muda wa kujibu maswali yanayorudiwarudiwa.