Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bakhresa atesa Msumbiji na Malawi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Oct 30, 2007.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Oct 30, 2007
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,951
  Likes Received: 1,296
  Trophy Points: 280
  Mozambique: IFC in U.S.$30 Million Loan Proposal to Dar Grain Group

  East African Business Week (Kampala)

  Daniel Christopher
  Dar es Salaam

  A member of the World Bank Group, the International Finance Corporation (IFC) is proposing a corporate loan facility of up to $30 million to Bakhresa Grain Milling (Mozambique) Limited aimed at financing Mozambique's Nacala Port Project.

  The facility would also support other projects in Malawi and Tanzania at a later stage.


  Already, the summary of the proposed investment has been prepared and distributed to the public in advance of the IFC board of directors' consideration of the proposed transaction.

  This, according to IFC, aims to enhance transparency of the IFC's activities. The IFC board of directors is expected to meet on November 30th, 2007.

  In this investment, the Bakhresa Group is considering building silos for the storage of wheat at the Nacala Port, Mozambique. The silos would be erected at the port of Nacala with BGM Mozambique.

  Construction of modern grain bulk handling and a storage facility, refinancing of debt and elected capital expenditures for operating flour mills in Malawi and Tanzania would be part of this multimillion dollar investment program.

  According to IFC, the project would ensure significant development impact including jobs maintenance and creation as well as ensuring food security.


  It will increase government's revenue, both in Mozambique and Malawi through increased corporate tax and it's also expected to improve the rail's operation between Mozambique and Malawi.

  The role of the IFC would be to help improve Bakhresa's corporate governance and achieve high environmental and social standards, including food safety to comply with international standards, labour management and reduce incidence of HIV/AIDS.

  IFC believes that such a project is a strong sign of confidence to the market for Mozambique, Malawi and Tanzania.
   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,096
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  how much tax did he pay last year?
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,588
  Likes Received: 11,982
  Trophy Points: 280
  A very good question. There is a possibility that he is paying very little or nothing at all! His foreign income should be liable to taxation too.
   
 4. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #4
  Oct 30, 2007
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,597
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Gere tu wewe Bubu,

  Wa kumlaumu si yeye, walaumiwe wanaoenda kwake kulazimisha:

  1. Wakatiwe kidogo na warekebishe mambo kabla ya Audit

  2. Wapewe cha juu kabla ya kugombea mradi tu awe na hofu kuwa wakiingia madarakani wanaweza ku-spoil mambo zake.

  The guys are doing great. Nowadays is a group of companies. Acha atese, ni zamu yake. Thanks to BWM... Natamani siku nimwagiwe pumba zangu nilipwe mabilioni
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,574
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Why? does our tax system allow that?

  Badala ya kuandikia mate now lets refer this question to our esteeme TANZANIA REVENUE AUTHORITY website where you will get all the info you need


  http://www.tra.go.tz/

  Ooops...

  hakuna mjadala hapa kwani point of reference kama mnavyoiona hiyo
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,588
  Likes Received: 11,982
  Trophy Points: 280
  Sina gere kwa mtu yeyote anayepata mali yake wakati huo huo kulipa kodi kama wanavyolipa wafanyakazi wa Tanzania ambao wana kipato kidogo. Sasa kama Bakhresa anaingiza mabilioni kwa nini asikatwe kodi!? au kwa sababu kawashika viongozi wa chama na siri kali mahali pabaya!?
   
 7. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #7
  Oct 30, 2007
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,597
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Jibu kumbe unalo eh?

  Tax Laws Administered by The Tanzania Revenue Authority

  1. The Income Tax Act, 2004

  2. The Value Added Tax Act, 1997

  3. The East African Community Customs Management Act, 2004

  4. The Excise Tariff Ordinance (Cap.332)

  5. The Stamp Duty Act, 1972

  6. The Road and Fuel Toll Act, 1985

  7. The Airport Service Charges Act, 1992

  8. The Motor vehicle (Tax Regisration and Transfer) Act, 1972

  9. The Port Service Charges Act, 1973

  10. The Vocational Education and Training Act, 1994

  11. The Foreign Commercial Vehicles Licensing Act, 1970

  12. The Land Act, 1999

  13. The Pools and Lotteries Act, 1967

  14. The Tanzania Revenue Authority Act

  15. The Hotels Act

  16. The Tax Revenue Appeals Act

  17. The Gaming Act
   
 8. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,752
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  i cant believe hii thread survived panga la admn !!
   
 9. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #9
  Oct 30, 2007
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,597
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  hivyo ndo unawakumbusha yakhe...! ume-down-load hizo data za TRA? badae ikipelekwa uchumi wa2 watadai imefutwa kbs, chukua mapema chako mkuu
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,574
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0

  nashukuru kwa kutupa hizi links lakini how credible are these?

  now how credible are those links? je ziko updated na je ni ipi ambayo inahusiana na Bakhresa?

  tuwekee wazi tafadhali
   
 11. B

  Binti Maria Senior Member

  #11
  Oct 30, 2007
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  malink TZ imekuwa kama fashion, ukiingia ndani kweuupeeee! Sasa wame-paste madocument ambayo sio user friendly ili iweje? Hawawezi ku-summarise for consumption purposes?
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,574
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Nilisema wazi hapo mwanzo hapa hakuna cha kudiscuss kwani hakuna mwenye enough supporting data on our TAX LAWS
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,588
  Likes Received: 11,982
  Trophy Points: 280
  GT, tax laws zinaweza kupindishwa wakati wowote ule kwa manufaa ya wachache na sio ya Watanzania. Manji kauza magodown yake kwa bilioni 47 na kutakiwa kulipa bilioni 1.3, lakini hadi hii leo hajalipa kwa visingizio mbali mbali ambavyo havina kichwa wala miguu. Sheria za kodi zingekuwa na nguvu hii 1.3 bilioni ingeshalipwa siku nyingi sana, lakini huyu Manji anajua viongozi wote wa juu wa chama na siri kali wako mifukoni mwake hivyo hakuna wa kumgusa! Ndio Tanzania yetu hiyo GT inaliwa na kubomolewa na wenye meno!
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,574
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0


  sawa lakini hatuwezi kufanya huu mjadala based on hearsay. Je kwanza kuna transparency katika masuala yetu ya Kodi?

  Je kama Bakhresa anatakiwa kulipa kodi za viwanda vyake vilivyopo nje je ni sheria gani inayosema anatakiwa kufanya hivyo? Je kama hajaingiza profit yoyote huko Malawi na kwingineko je kuna sheria gani ya kumlazimisha alipe tuu hiyo kodi?

  Lets have some perspective na kujadili haya mabo based on data available otherwise tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu


  uhusu Maji nakuomba uje na stats za kuback up hayo maneno yako...hii nakuomba isiwe magazeti au newslips bali credible info
  toka kwa hawa hawa TRA kisha tutajua mchele ni upi au pumba ni zipi
   
 15. K

  Koba JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,096
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  ..sheria za kodi ziko wazi kabisa ila kuna huu upuuzi wa Waziri,commissioner,President blah blah an endless list wana kuwa na kauwezo ka kusamehe au kupunguza kodi katika mazingira fulani...basi hapo wataalam ndio washaliona shimo hilo na wanalitumia effectively kutolipa kodi
   
 16. K

  Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2007
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 1,128
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Huyu Jamaa ktk walipaji kodi wazuri na wasiokuwa na matatizo NCHINI na yeye yumo,Ktk kutoa ajira kwa wazawa amejitahidi,Ktk Kusaidia masikini hilo ndiyo kila wiki kuna watu wamo kwenye pay roll ya misaada wanakwenda kuchota kwake wakiwemo wagonjwa na masikini wasio na uwezo ,KUNA WANAOMBA MSAADA WA KUSOMESHWA AIDHA KULIPIWA KICHELE AU KICHELE NA KARO ,Na kitu kizuri kwake huwa hajitangazi kwamba anafanya hivyo vitu.
   
 17. K

  Koba JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,096
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  ...hivi tax paid by companies or individuals nafikiri ni public record,haya mwenye nazo tuonyeshe kalipa ngapi mwaka jana mana unyamwezini tunajua mpaka Bush kalipa ngapi mwaka jana...sio kutoa misifa tuu kumbe kanyabwoya ya nguvu
   
 18. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2007
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 690
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani Mambo ya TRA yaacheni yalivyo. Hizo sheria ni kama vile zipo tuu na wala hazifanyiwi kazi. Kero za TRA huwezi kuzijua hadi utakapo kuwa na issu kule ndio utajuta. Nakumbuka nilishawahi kuweka Thread ya kuhusu TRA wanavyonyanyasa wananchi na wanao umia sio wafanya biashara wakubwa kwama Bakheresa bali ni sisi http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=6475.

  Hebu jaribu kutuma kitu nyumbani kama walau TV au Kagari uone kodi yake kwanza watauplift gharama na kisha wanakutandika kodi ya kufa mtu. Unaambiwa inabidi ufahamiane na mtu. Hayo yalishanikumba mimi na naamni yanaweza kuwa kumba.

  Kama bakharesa analipa kodi vizuri, anatoa ajira na wafanyakazi wake wanalipa kodi mimi naunga mkono apate suport. Mchango wake kwa uchumi upo. Sijajua kama huwa malighafi kama mahindi na Ngano ananunua kwa wakulima au anaimport. Nadhani kama ananunua nnje basi msaada wake kwa taifa ni mdogo sana lakini kama ananunua ndani ya nnchi multplier effect ni kubwa na anastahili kuungwa mkono.
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,588
  Likes Received: 11,982
  Trophy Points: 280
  Sina kawaida ya kutwanga maji kwenye kinu. Kuna ushahidi wa kutosha unaonyesha wafanyabiashara mbali mbali waliosamehewa kodi kienyeji kwa kuwa mmoja wa waheshimiwa au zaidi kaamua hivyo. Hii ni fact wala sio hearsay.

  Mimi sio mfanya kazi wa TRA unategemea nitazipata wapi info za ndani ya Agency hiyo kama sio toka kwenye magazeti ambayo hadi hii leo habari hizo hazijakanushwa na Manji wala TRA, kwamba hadi hii leo bado anapinga kulipa kodi ya 1.3 billioni kufuatia mauzo ya magodown yake kwa 47 billioni.

  Kwa mtazamo wangu kama habari hiyo iliyoandikwa katika magazeti mbali mbali ambayo yana credibility kubwa ndani ya Tanzania basi Manji au TRA wangeshakanusha yale yaliyoandikwa, lakini hadi hii leo hatujasikia TRA wala Manji kukanusha. Sasa iweje hearsay wakati wahusika wakuu katika habari hiyo hawajakanusha yale yaliyoandikwa!?
  :confused:
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2007
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,849
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  hatuwezi kuijadili kampuni bilaya kuwa na data za uhakika kutoka kwa watoza kodi.

  mwenye uwezo na atumwagie hapa, rekodi za kodi alizolipa bakhresa kisha ndio tuanze kumchambua
   
Loading...