Hapa napenda kuhitalifiana nanyi. Wafanya biashara wakubwa, wazalendo wa Tanzania, lazima wapewe preferential treatment inapokuja kulipa kodi. Hii ni kwa kuwapa moyo wa kujiendeleza zaidi, na kuwalea wanaoinukia. Vinginevyo watahamisha investment zao. Haiwezekani kwa mfanyibiashara mzalendo kushindana na mgeni kama hatapendelewa. Preferential treatment siyo Tax exemption.
Mataifa yote yaliyoendelea yanafanya hivi. In fact hata Balozi zao zinawasaidia mpaka kupata masoko. Natumaini Magufuli ana washauri wazuri katika hili. Kumbuka, mwenye fedha si mwenzio. Kitu gani kitamzuia Bakh kuhamisha invesment zake zote kuzipeleka Kenya?
[h=2]Walipa Kodi 15 Wakubwa Tanzania (Tanzania Top 15 Tax payers) & the missing household names[/h]with 38 comments
Kutoka Hotuba ya Waziri Mkuu 26.08.2011 ? Makampuni yanayoogoza kwa kulipa kodi
Note: (Highlights)
Only one Mining company (the smallest ie Resolute Mining), only one telecom company(Airtel Tanzania).
Household names like MeTL, Bakhresa/Azam, IPP, VodaCom, Coca cola, Pepsi(SABCO), Serengeti Breweries, Barrick Gold, AngloGold Ashanti not seen. No oil marketing companies pia.
One can conclude that, TBL is the most profitable company in Tanzania, NMB is the most profitable Bank.
A public debate is needed.
Here under is the an extract from the Prime Minister speech;
Mheshimiwa Spika,
1. Nitumie nafasi hii kuwapongeza baadhi ya Walipakodi Wakubwa kwa Serikali na ambao wamefanya vizuri kati ya kipindi cha mwaka 2005 na 2011. Kwa kipindi hicho, Makampuni yaliyoongoza kwa kulipa kodi ni pamoja na:
i. Tanzania Breweries Ltd. (Shilingi Bilioni 165.4);
ii. National Microfinance Bank (Shilingi Bilioni 108.6);
iii. Tanzania Cigarette Company (Shilingi Bilioni 92.1);
iv. National Bank of Commerce (Shilingi Bilioni 89.9);
v. CRDB Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 79.2);
vi. Tanzania Ports Authority (Shilingi Bilioni 76.8);
vii. Tanzania Portland Cement (Shilingi Bilioni 73.4);
viii. Airtel (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 63.6);
ix. Tanga Cement Company Ltd. (Shilingi Bilioni 43.6);
x. Standard Chartered Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 40.0);
xi. Citibank (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 35.7);
xii. Resolute (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 32.1);
xiii. Tanzania International Container Terminal Services (Shilingi Bilioni 25.9);
xiv. Tanzania Distillers Ltd. (Shilingi Bilioni 13.4); na
xv. Group Five International (PTY) Ltd. (Shilingi Bilioni 9.5).
2. Napenda kutoa rai kwa Makampuni yote Nchini kuiga mfano huu mzuri. Wito wangu kwa Makampuni, Wafanyabiashara Wakubwa kwa Wadogo na Wananchi wote ni kuongeza juhudi katika kufanya biashara zao ili zizalishe kwa wingi na kupata faida kubwa zaidi. Faida kubwa itachangia katika kuongeza Mapato ya Serikali kwa njia ya Kodi na hivyo kusaidia kukuza uchumi, kuongeza Pato la Taifa na la Mwananchi mmoja mmoja na kuondoa Umaskini. Niwadhihirishieni kwamba, Serikali inatambua umuhimu wao kwa maendeleo ya Nchi yetu na itahakikisha inaongeza juhudi zake za kuweka Mazingira Wezeshi kwa Makampuni hayo kufanya shughuli zao vizuri ili kuwezesha kulipa
Source: Zitto Zuberi Kabwe Blog
vodacom haipo , tigo nao haipo
Mleta mada hebu tupe orodha ya hilo kundi LA walipa kodi wakubwa. Kama huna hiyo orodha basi haya yatakua majungu
Jamani mlipa kodi ni entities ... Bakhresa Ana makampuni mengi ambayo moja moja ni Ngumu Kuwa mlipa kodi kwa Kuwa ni madogo mengine.
hebu lete hiyo list ya walipa kodi wakubwa...?
Hofu ya udini hiyoooo inanukia. wivu usiwe kigezo cha kuleta fitina. Hivi karibuni kupitia kipindi kimoja kinachorushwa na ITV kila alhamisi, tulihabarishwa kuwa misingi bora iliwekwa na Julius Nyerere ikaja kuharibiwa kwa kurusu mainzi kuingia baada Ali Hasssa Mwinyi kufungua milango k wa wafanya biashara, akaja Mkapa na akaziba mianya na kufukuza mainzi , na alipokuja Kikwete akaharibu tenakwa kukuribish mfisadina sasa Msgufulu kaja kuweka sawa Mudhui ni kwamba nchi ikiongozwa na mtu wa dini fulani basi wanaharibu na wengine wanjenga kwa kuwakandamiza wengine. Hi sio hali nzuri na watu kama hawa tuwaogope kama UKIMWI
Umehakikisha vipi hizo rasilimali zote ulizozitaja zimesajiliwa bara na si Zanzibar, auayari Zanzibar isha kuwa mkoa?
Waulize wafanyakazi wake, Bakhresa analpa vizuri maruporupo kulioko serikali ya CCM. AMKA MDINI. zungumzia ndege alie mikononi Tajiri wa Escrow anaewahonga watu mabilioni kwa kununulia mboga tu, je analipa kodi inayostahili? au kwa sababu anatoka dini ile na mkoa uleee
Baba wa Taifa Abeid Karume alituwasia EPUKA FITINA ZA KIDINI
vodacom haipo , tigo nao haipo
Acha uvivu unataka kila kitu uletewe ,hii orodha inapatikana kwenye mtandao wa TRA,na pia kunakuwa na sherehekila mwaka ya kuwatunuku walipa kodi wakubwa 10 katika hiyo orodha pamoja na Bakhresa kutokuwemo hata makampuni ya simu hayamo,wanaongoza ni TBL,TCC na kuendelea,penda kujisomea usipende kusema lete hapa hangaika na wewe
Huyu ni mmoja wa waliowekeza kwenye mabadiliko ya kuzungusha mikono. Nini walikusudia kufanya baada ya mabadiliko hayo, wanajua wenyewe.
hebu lete hiyo list ya walipa kodi wakubwa...?
Alama ya mshangao!!!!! Full stop.....Bakhresa ni 54 containers na tayari tangu jana Azam ICD General Manger kalaliwa yupo lupango hasara toka kwa azam icd kwenda kwa gvt ni 12b mtt wa bakhresa kataenda kulipa kaambiwa baki na pesa zako tuna calculate penalties mtalipa kwa kwa pamoja ila gm wako tunazaa nae another breaking news boss wa home shopping centre kadakwa boder ya namanga alikuwa analala mbele ametulizwa kaambiwa tunakuhitaji hapa kazi tuuu
Nazjaz una wivu wa kike kwa bilionea wa ukweli asiye na makuu,shehe bakhressa.
nenda TRA kawaombe wakupe document zinaonyesha ulipaji kodi wa bakhressa,bila shaka utalipuka kwa hasira ya wivu.
wanalipa kodi wauza vitumbua kumbe matajiri wakubwa hawalipi kodi... mamaaa.
Hata huo utajiri wameupata kwa kukwepa kodi.
Nazjaz una wivu wa kike kwa bilionea wa ukweli asiye na makuu,shehe bakhressa.
nenda TRA kawaombe wakupe document zinaonyesha ulipaji kodi wa bakhressa,bila shaka utalipuka kwa hasira ya wivu.
Huyo mfashiri mkubwa wa nzi wa kijani na juzi tu znz kapewa ZAWADI ya eneo la kujenga kijiji cha biashara kama alivyopewa huku bara pale maeneo ya buguruni karibu na tazara