Muwe mnasoma bajeti vizuri na kuelewa Bakhera hajachangia hata kumi.. waziri kaeleza hivi - NANUKUU;
"Napenda kuchukua fursa hii kuipongeza kwa dhati kampuni ya kitanzania ya S.S Bakhresa kwa kuitikia mpango huo na kutoa dola laki 8 ambazo zimetumika kukarabati vichwa 2 vya train aina ya 73xx. vichwa hivo vinatumika pamoja na kazi nyingine kusafirishia ngano kutoka DSM mpaka mwanza kwa ajili ya soko la S S Bakhresa la Uganda. vile vile kampuni ya TICTS ltd imeonesha nia ya kutoa kiasi hicho hicho cha fedh kukarabati vichwa 2 vya injine aina ya 64xx na mabehewa 20 kwa ajili ya kusafirishia makasha kutoka bandari ya dsm kwenda kituo cha makasha cha Ubungo"
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
Ni kampuni ya SSB imechangia wizara ya uchukuzi USD800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: TBC jana.
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
haya makampuni yanachangia kwa sifa tu angalieni wafanyakazi wake wanavyoteseka .charity start at home ni unafiki mkubwa sana!!!huwa siwapongezikabisa mimi sio mnafiki!!ni kampuni ya ssb imechangia wizara ya uchukuzi usd800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: Tbc jana.
Sisimizi anamchukia tembo! Ha ha haa!
Sisimizi anamchukia tembo! Ha ha haa!
Kama amechangia serikalini bora zaidi ya zile wanazotoa kuisaidia CCM.
Sio unachekacheka bata mzinga we, soma hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/452533-yapo-ya-kusahau-lakini-sio-hili.html