Bakhili

Bakhili

shakamohd

Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
49
Reaction score
6
Baada ya kupasi mtihani Bakhili alimnunulia mwanawe toy car kama alivyomuahidi, mtoto akafurahi kisha akamuuliza baba yake ziko wapi batery zake? Bakhili: batery nitanunua ukipasi mtihani wa mwakani!!!
 
Back
Top Bottom