BAKERY inapangishwa- SINZA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAKERY inapangishwa- SINZA

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Short white, May 30, 2012.

 1. S

  Short white Senior Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bakery yenye kujitosheleza kwa vifaa na ndani ya jengo Zuri pembeni ya main road inapangishwa au mwenye mahitaji anaweza kuinunua pia! Mwenye mahitaji ya kweli tuwasiliane kwa namba hii 0658453737. Karibu
   
 2. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 333
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sinza sehemu gani na ni sh ngapi kwa mwezi ?mbona haya ndio maswali ya msingi mnaulizwa kila siku mnapotangaza biashara zenu na bado mnayaacha kuorodhesha?
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Sinza kubwa mkuu tuambie sinza ipi, na hivyo vifaa vilivyopo vya aina gani? vina uwezo wa kutoa mikate ngapi kwa siku? nk
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mkuu inakwenda shilingi ngapi kwa mtu anayetaka kununua?
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Da biashara ya products za ngano ngumu sana maana siku hizi watu wengi hawana uwezo wa kula mikate!!!! Wanakula mihogo na kiporo cha wali kwa chai!!! Haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania hata sukari ya chai hawezi nunua. M4C kazi kwenu.
   
Loading...