Bakari Shime aliwahi kufanikiwa katika lipi ?

Ilikuwepo na Ilishinda Kombe la Dunia la coppa coca cola Kikiwa chini ya Kocha Mbrazil "Marcus Tinoko" na captain wa timu alikua "Abdalah Bunu"
Copa Coca Cola hayakuwa mashindano makubwa kama haya na licha ya kuchukua ubingwa ile timu haikuwa nzuri kuliko hii,kama umeangalia hii timu inavyocheza ni tofauti kabisa,timu imefanya vibaya kutokana na kukosa support ya kutosha,maandalizi mabovu na approach mbovu ya kocha(kucheza defensive ile game ya Niger) lakini ukiangalia performance ya kila mchezaji na confidence waliyo nayo wachezaji hawa vijana nchi nyingi za Africa wameisifia sana Serengeti Boys
 
Sasa kama umeona matatizo ya kocha unanipinga kwa lipi ?

Unajua makocha wengi wa kiwango cha chini kama huyu Shime hawajifunzi maana ya hizi Tournament fupi , michuano kama hii ni ya kushambulia kufa na kupona , ni bora ushinde 10 -9 lakini usonge mbele kuliko kufungwa 1-0 na ukatolewa .
 
acheni unafiki, ndo mmepeleka timu kwa mara ya kwanza halafu mnataka irudi na kombe????

hapa timu ilipofikia inahitaji pongezi nyingi sana kwa kazi kubwa walioifanya. Timu imecheza mechi 3, ikashinda 1, ika_draw 1 na kufungwa 1. kuboronga unakokusema kuko wapi?
 
Basi haijaboronga , si ndio unavyotaka ?
 
Basi haijaboronga , si ndio unavyotaka ?[/QUOTE

Timu imeboronga as ilionekana kabisa hawana plan B kwenye mechi na Niger zaidi ya kubutua na kukimbilia mbele. Huyu Shime alikuwa pia kocha wa Mgambo JKT ya Tanga ambayo pia aliishusha daraja...
 
Any disappointment inakuja kama una malengo makubwa sana halafu hayatimii, labda wewe ulikuwa na malengo gani ambayo yameku_disappoint kiasi icho??
The Target was to qualify for under 17 world cup , hilo ndio walikuwa wakinadi viongozi wa Tanzania akiwemo waziri wa michezo .
 
Sasa kama umeona matatizo ya kocha unanipinga kwa lipi ?

Unajua makocha wengi wa kiwango cha chini kama huyu Shime hawajifunzi maana ya hizi Tournament fupi , michuano kama hii ni ya kushambulia kufa na kupona , ni bora ushinde 10 -9 lakini usonge mbele kuliko kufungwa 1-0 na ukatolewa .

Nimetaja sababu 3 za hawa vijana kutofanya vizuri,naona wewe umeiona hiyo moja tu

1.Kukosa support ya kutosha
Nape aliunda tume kwa ajili ya Serengeti Boys wakiwamo kina Diamond & Ally Kiba ,kiuhalisia hakuna hamasa yeyote iliyofanywa na hiyo kamati.Walishindwa hata kuandaa budget ya kikundi cha watu 10 ambao wangeenda kuishangilia hii timu

2.Maandalizi mabovu
Mechi nyingi walizocheza Serengeti Boys tuicheza hapa nyumbani na tulicheza na timu zenye viwango vidogo,tulipaswa kupata mechi nyingi za ugenini na mechi nyingi za timu za West Africa(Ghana,Nigeria,Cameroon,Senegal,Mali) huku ndio kuna timu nzuri za vijana kwa Africa

3.Approach ya mechi

Game ya kwanza aproach ilikuwa sawa (defensive) tukapata droo na Mali ambao ni bingwa mtetezi na wanapewa nafasi kubwa,Game ya Angola tulipaswa kufunga magoli mengi tukakosa magoli ya wazi,tungeweza kufungwa mechi ya mwisho na kwenda nusu fainali hata kama tungefungwa na Niger kama tungewafunga Angola magoli mengi

All in all sidhani kama makocha wanastahili lawama kubwa unazowapa,hawa ndio waliiongoza hii timu kucheza mechi nyingi bila kufungwa na timu ilikuwa inacheza vizuri
 
Hivi unadhani David Moyes anaweza kupewa timu ya vijana ya England ?

Unaambiwa huyu Shime ana gundu , kila timu anayofundisha anaishusha daraja , ni vigezo gani mlitumia kumpa kazi huyu jamaa?
 
Una laana mleta maada, huna hata shukrani, jifunze kupongeza wenzio kwa hatua wapigazo

Alaah kila cku kulalamika
 
Hivi unadhani David Moyes anaweza kupewa timu ya vijana ya England ?

Unaambiwa huyu Shime ana gundu , kila timu anayofundisha anaishusha daraja , ni vigezo gani mlitumia kumpa kazi huyu jamaa?
Unaongea kama Tanzania imewahi kufanikiwa kwenye soka,kocha gani ameweza kufikisha timu ya vijana hatua hiyo ?
 
Back
Top Bottom