Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
subiri na wewe liuzi lako linakuja toka kwa secret admirer wako,Kumbe kupendwa raha sana etiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
Naona BAK ana-ejoy kuwa a happy new convert...lol!!
Hongera zake .....bila kinyongo kwa kweli...
Babu DC!!
BAK Ooh mimi sina bahati, ona sasa ushindwe mwenyewe!. Shauri yako wenzako tunakesha kuzipata ngekewa kama hizi lakini hola!.
Waoooooooooooooooooooh!Yegooooo! lol! Naona umeamua kunipiga dongo la kiutu uzima haya banaaa 🙂🙂 Nitakupitishia kizizi na wewe ili ujidai kwa raha zako 🙂🙂....You don't have to stay up all night to get lucky.
Hahahahaha pacha bado unataka kuamkiwa tuu jamani lol. Kaza buti dearsubiri na wewe liuzi lako linakuja toka kwa secret admirer wako,
namjua ila sikutajii mpaka uniamkie
Mkuu umeongea kweli. Nilikua sijanotice hii kitu nakumbuka niliwahi kutolewa mbio kwenye jukwaa la siasa lkn bro huyu alinitia moyo kwenye ile thread lol. Ubarikiwe sana BAK bila kumsahau Fixed Point yaani ni wengi mno nimetaja hawa wawili tu na wengine wote kumbe jf ina hazina kubwa ya watu wema .Yaani sijui kama nitaeleweka bila kuleta madhara humu..ni kwamba kwa kipindi kirefu kidogo tangu nijiunge humu pamoja na kwamba wengi ni wakalimu na wenye upendo,ila naomba leo special appreciation imfikie MR BAK!
Yani pamoja na kwamba wengi humu hatujuani wala kufahamiana ila moyo wangu unakuwa na ile shauku ya angalau nimuone na kumshukuru kama si kumuona tu!
Nasema ivyo kwa sababu nyingi tu chache ni kwamba kaka huyu ni mwelewa hata ungekuwa na shida kiasi gani kuhusu ushauri ni wa kwanza kukufariji!pale wengine watakapokuponda nakukutenga ama kukukatisha tamaa yeye atauunganisha na wibo wa kufariji..sasa basi yote hayo si kwangu tu ninyi ni mashahidi amekuwa mfariji mkuu humu....watu huwa hawajui roho nzuri ya mtu huonekana hata kwa maandishi na hisia zake kwa jambo linalomkuta mtu!
Sasa sijui kama kuna siku naweza kumuona basi hata nikishindwa picha yake itanitosha walau numuone
Thankyou so much for your kindness and hospitality along the way! you are a life saver!
Ni kweli kabisa usemacho nasi twapasa kushukuru mana ni hazina ndaniya mioyo yetu!Mkuu umeongea kweli. Nilikua sijanotice hii kitu nakumbuka niliwahi kutolewa mbio kwenye jukwaa la siasa lkn bro huyu alinitia moyo kwenye ile thread lol. Ubarikiwe sana BAK bila kumsahau Fixed Point yaani ni wengi mno nimetaja hawa wawili tu na wengine wote kumbe jf ina hazina kubwa ya watu wema .
My appreciation rafiki...mzima weye? Leo umeamua kukesha rafiki au usingizi unapiga chenga ya mwili?
Nashukuru sana keshatupiamo......masong kibao tu ikiwepo ya I DON'T WANNA MISS A THING!....very cool!.....huwa naupenda sana.japo na mimi kuna wimbo wa IT HAVE MUST BEEN LOVE niliomdediketia haueleweka nina maana gani..ila mana ni nzuri tu ya burdani...na pia nikaja kumuongezea na wa JORDIN ....NO AIR!...Hope atazipenda!