Mhhhhh! BAK a life saver!!! Kuna ule msemo unaosema kwamba "treat people the way you want to be treated" najitahidi sana hasa kwenye kutoa ushauri kutoa ushauri ambao naona unajenga badala ya kubomoa. Kama binadamu siko perfect hivyo hapa na pale nimeteleza, pamoja na hayo nimefarijika sana kusikia kwamba nimekugusa kiasi hicho na kupenda kutaka kuonana nami. Tuombe uhai Heloo waswahili husema milima haikutani bali binadamu hukutana penye majaliwa iko siku tutakutana kukaa chini mahali na kuongea mawili matatu kuhusu jambo lolote lile. Shukrani sana kwa kunipa sifa kubwa kiasi hicho.

umeona eehhh!mi na ushosti wote hujawahi kuniandikia post ndefu hivi!
cha!
leo kweli ni jumatatu asubuhi!
sijui uko wapi walahi!
Yaani sijui kama nitaeleweka bila kuleta madhara humu..ni kwamba kwa kipindi kirefu kidogo tangu nijiunge humu pamoja na kwamba wengi ni wakalimu na wenye upendo,ila naomba leo special appreciation imfikie MR BAK!
Yani pamoja na kwamba wengi humu hatujuani wala kufahamiana ila moyo wangu unakuwa na ile shauku ya angalau nimuone na kumshukuru kama si kumuona tu!
Nasema ivyo kwa sababu nyingi tu chache ni kwamba kaka huyu ni mwelewa hata ungekuwa na shida kiasi gani kuhusu ushauri ni wa kwanza kukufariji!pale wengine watakapokuponda nakukutenga ama kukukatisha tamaa yeye atauunganisha na wibo wa kufariji..sasa basi yote hayo si kwangu tu ninyi ni mashahidi amekuwa mfariji mkuu humu....watu huwa hawajui roho nzuri ya mtu huonekana hata kwa maandishi na hisia zake kwa jambo linalomkuta mtu!
Sasa sijui kama kuna siku naweza kumuona basi hata nikishindwa picha yake itanitosha walau numuone
Thankyou so much for your kindness and hospitality along the way! you are a life saver!
Nakuhakikishia umechagua aliyenona.
Mhhhhh! BAK a life saver!!! Kuna ule msemo unaosema kwamba "treat people the way you want to be treated" najitahidi sana hasa kwenye kutoa ushauri kutoa ushauri ambao naona unajenga badala ya kubomoa. Kama binadamu siko perfect hivyo hapa na pale nimeteleza, pamoja na hayo nimefarijika sana kusikia kwamba nimekugusa kiasi hicho na kupenda kutaka kuonana nami. Tuombe uhai Heloo waswahili husema milima haikutani bali binadamu hukutana penye majaliwa iko siku tutakutana kukaa chini mahali na kuongea mawili matatu kuhusu jambo lolote lile. Shukrani sana kwa kunipa sifa kubwa kiasi hicho.
He he he he, sikujua kama una aibu kiasi hiki
Umeshindwa kusema 'come zis way'?
mi na ushosti wote hujawahi kuniandikia post ndefu hivi!
cha!
leo kweli ni jumatatu asubuhi!
sijui uko wapi walahi!
umesoma between the line Kongosho?He he he he, sikujua kama una aibu kiasi hiki
Umeshindwa kusema 'come zis way'?