Bajeti yangu

We genius mkuu!Pombe ina ingredients:chakula na kinywaji/pombe.Cha nyumbani ni nyongeza tu(kidding).Lastly,kujifagilia!
 
Pombe na kuhonga inachukua nafasi kubwa kwa jamaa ila kula anajinyima
 
Usijali mkuu hiyo bajeti ni nzuri sana maana mwenzio mwenye bajeti kama yako atakutunzia familia kupitia mkeo kama wewe unavyotunza ya wenzio humkomoi mtu mkuu utagegedewa kweli na kila siku utakula makombo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…