Bajeti yangu Tsh. 60,000, nahitaji Used Smartphone

Bajeti yangu Tsh. 60,000, nahitaji Used Smartphone

MUNGU mkubwa mkuu hebu tuhabarishe sifa zake maana wengine tumeelekeza tu wakati hatuna, sasa nipe sifa zake Jamii forums inakamata? na VPN ya Tweeter
umenipa moyo na mm huku Bara nikaitafute kwa hiyo bei
 
Nakupa tecno camon 16s

Tumia siku 7 uenjoy smartphone
kisha nirudishie

Tuma hio hela inbox
 
Nakupa tecno camon 16s
Tumia siku 7 uenjoy smartphone
kisha nirudishie
Tuma hio hela inbox
keshanunua pale Mlimani City, ngoja atupe features zake
GB ngapi RAM na uwezo mingine sisi visimu vyetu haviwezi pakua VPN kwani TCRA wamevibinyia mbali kupata Tweeter
 
Niuzie smart phone yenye viwango vinavyoendana na thamani ya 60000

NB usiniambie habari za kwenda dukani
Bado unahitaji simu. Nauza Itel Ram 1 GB, Storage 16 Gb, haikai sana na charge ila sio tatizo sana, sh elf 30 punguzo unaongea
 
Back
Top Bottom