Bajeti yangu Tsh. 60,000, nahitaji Used Smartphone

Bajeti yangu Tsh. 60,000, nahitaji Used Smartphone

Itel T20! Jipatie Simu mpya ya 4G na yenye kioo kipana kwa shilingi 85,000Tsh tu. Nunua leo simu ya Itel T20 kutoka Tigo upate GB 30 za Intanet BURE Mwaka mzima
 
Itel T20! Jipatie Simu mpya ya 4G na yenye kioo kipana kwa shilingi 85,000Tsh tu. Nunua leo simu ya Itel T20 kutoka Tigo upate GB 30 za Intanet BURE Mwaka mzima
bajeti ni 60000
 
Itel T20! Jipatie Simu mpya ya 4G na yenye kioo kipana kwa shilingi 85,000Tsh tu. Nunua leo simu ya Itel T20 kutoka Tigo upate GB 30 za Intanet BURE Mwaka mzima
kumbe kweli Mkuu Tigo wametoa Smartphone ya 4GB itel

Kajeba

1619285055486.png

mleta mada ongezea hapo 25,000
 
bajeti ni 60000
basi pata smartphone ya Tecno Y3 au Y2
1619285399377.png
kwa sababu simu za kuchukulia mikononi kwa watu unaweza kukuta imepatikana kwenye tukio lililoripotiwa POLISI
 
Daa aisee!!

Hivi kwanini elfu 60 nimekutana na watu wengi wanaoulizia smartphone wakisema isizidi elfu 60!!

Halafu wengi ni machalii
 
bajeti ni 60000
Pambana upate hiyo hata kwa kukopa hutajuta unapata kitu kipya kabisa hakina magumashi na bando la mwaka mzima la net, kwa budget yako huta pata simu utapata takataka utajikuta kila siku kwa fundi matokeo yake gharama itakuwa kuu kuliko uliyonunua
 
Back
Top Bottom