Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

Daah, kila la kheri mkuu.
 
Sasa kwa mfano dar Nyumba ya Familia hupati bila kuwa na 500k au zaidi..
Lets say Kipato changu ni 2.6M..
20% ni 500k..
Na ni nyumba ya kawaida sana..
Hiyo maybe kama unazungumzia mtu bachelor na sio mwenye Familia kweli inafanya kazi
 
Sadaka 40,000 mshahara laki nne. Mthfcker😔😔😔.
Vijana jueni kuishi. Hata Mungu hataki muumie hivo kama yupo kweli kwenye dunia hii.
Alafu Kingine. Acheni haya mambo ya UTT kama hamuyaelewi sio kwasbabu ni haki ya maoni basi kila mtu anaandika tu.
Kwanza ww ushafanya hayo.
Au unatushauri tu sisi maskini?
 
mm huwa natumia mshahara wa mwezi wote kwa miezi mi2 kisha wa mwez ujao natunza wote haijalish napokea kiasi gan lbda nipate dharula
 
Bajeti hiyo ngumu sana kaka

Sijaona sehem iliyotengwa hata buku 5 ya kununua nusu kilo ya shwaini (nguruwe )
 
Kuhusu sadaka,hakikisha unajicommit kwenye haya makanisa official mfano Kkkt au RC hawana zile sadaka za kujimaliza na ibada zao ni nne kwa mwezi,wao ukiwapa buku mara nne=4k hawana kwere
Wazee wa makanisa ya kisasa hawana tofauti na waumini wa waganga wa kienyeji, wanaamini sadaka kubwa ndo baraka kubwa wakati wanasahau kwamba hata kipindi wanatoa sadaka Tsh 100 au 200 bado Mungu alikuwa anatoa baraka zile zile. Me nadhani sadaka ni kutoa kile unachojiskia kutoa kulingana na hali ya maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…