Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,271
WanaJF, Kinachoniuma ni kwamba huku kwetu Morogoro tunakufakwa mafuriko, migogoro kati ya wakulima na wafugaji isiyoisha, njaa, umaskiniwa kupindukia huku wakubwa wakitumia mabilioni ya fedha kuandaa mbwex2 zamuungano leo. Hizo fedha zingetosha kuongeza hata mishahara ya walimuwanaondesha mgomo baridi, au madaktari wanaoteseka bila vifaa vya vituo vyaafya.
My take: mwenye kufahamu estimate za kuendesha hizi mbwex2za muungano aturushie ili tufanye makadirio ya idadi za shule za msingizitakazojengwa na mabilion hizi. Na je katika gharama hizi serikali yamapinduzi ya Zanzibar imechangia % ngapi yah ii bajeti?