Bajeti ya kuandaa sherehe za Muungano

Bajeti ya kuandaa sherehe za Muungano

Budget for unity government why ? I say why. because big bank BOT is next to ikulu. Governorman is presidential appointment. he say give many money we want to eat holiday. you think he agree or refused president. no he give many red of mzimbazi. but thiefman take also. hhe say also fo eat holiday celebration no audit. take yours faster.

Unacheza na akili za watu....in eng pls!;-)
 
WanaJF, Kinachoniuma ni kwamba huku kwetu Morogoro tunakufakwa mafuriko, migogoro kati ya wakulima na wafugaji isiyoisha, njaa, umaskiniwa kupindukia huku wakubwa wakitumia mabilioni ya fedha kuandaa mbwex2 zamuungano leo. Hizo fedha zingetosha kuongeza hata mishahara ya walimuwanaondesha mgomo baridi, au madaktari wanaoteseka bila vifaa vya vituo vyaafya.
My take: mwenye kufahamu estimate za kuendesha hizi mbwex2za muungano aturushie ili tufanye makadirio ya idadi za shule za msingizitakazojengwa na mabilion hizi. Na je katika gharama hizi serikali yamapinduzi ya Zanzibar imechangia % ngapi yah ii bajeti?

hivi ni leo au itapelekwa j3...
 
its a trial.....improve by reading novels or any English written book

Ndio jana mkulu alikuwa anadai amejenga sekondari nyingi wakati output ndio hiyo.cc Elli
 
Last edited by a moderator:
Akshante sana Bategereza aiseee weee ni bonge la ze Comedy, anzisha tu kipindi ndani ya TV, dakika kumi na tano tu zinatosha.
 
WanaJF, Kinachoniuma ni kwamba huku kwetu Morogoro tunakufakwa mafuriko, migogoro kati ya wakulima na wafugaji isiyoisha, njaa, umaskiniwa kupindukia huku wakubwa wakitumia mabilioni ya fedha kuandaa mbwex2 zamuungano leo. Hizo fedha zingetosha kuongeza hata mishahara ya walimuwanaondesha mgomo baridi, au madaktari wanaoteseka bila vifaa vya vituo vyaafya.
My take: mwenye kufahamu estimate za kuendesha hizi mbwex2za muungano aturushie ili tufanye makadirio ya idadi za shule za msingizitakazojengwa na mabilion hizi. Na je katika gharama hizi serikali yamapinduzi ya Zanzibar imechangia % ngapi yah ii bajeti?

kwanza lazima uelewe kuwa hawawezi kuachaa kufanya sherehe ya muungano kwa sababu ya shida au matatizo ya wengine...mkuu wataendelea kufanya sheerehe hizi hadi dunia ikiwambiaa stop.... kuhusu garama sijawaho sikiaa ikitolewa au ikasemwa garama iliyotumika ya sherehe ya mungano..tangu nazaliwa..hii itakuaa first time kusikiaaaa humu hf
 
It fifty year unity Tanganyika Zanzibar. the govt it use many money to enjoy ocation of union. if morogoro people die hunger they dont dig big farm in morogoro. Leaders want to eat money so they start unity celebration the extra money thief leader take and you know no audit government celebration. People join CHADEMA good part and good leader not thiefman. ccm is thiefman. up to you morogoro sickman die for nothing.

kwa nn usiandike kiswahili?
 
You say I not know. oooh I know two novel things fall apart and a grain of wheat. I read them. teacher man write summary. i know you hear language three at Matengo secondary school Songea. our teacher ooohh you not knor Mr. Komba he speak english with nose.
Hahahahahaaa Bambo boleee
 
It fifty year unity Tanganyika Zanzibar. the govt it use many money to enjoy ocation of union. if morogoro people die hunger they dont dig big farm in morogoro. Leaders want to eat money so they start unity celebration the extra money thief leader take and you know no audit government celebration. People join CHADEMA good part and good leader not thiefman. ccm is thiefman. up to you morogoro sickman die for nothing.
>
nimependa kiingeleza chako je wewe ni gladueti wa chuo gani?
 
It fifty year unity Tanganyika Zanzibar. the govt it use many money to enjoy ocation of union. if morogoro people die hunger they dont dig big farm in morogoro. Leaders want to eat money so they start unity celebration the extra money thief leader take and you know no audit government celebration. People join CHADEMA good part and good leader not thiefman. ccm is thiefman. up to you morogoro sickman die for nothing.

Nimesoma kama naimba wimbo wa Eminem - Loose YourSelf
 
It fifty year unity Tanganyika Zanzibar. the govt it use many money to enjoy ocation of union. if morogoro people die hunger they dont dig big farm in morogoro. Leaders want to eat money so they start unity celebration the extra money thief leader take and you know no audit government celebration. People join CHADEMA good part and good leader not thiefman. ccm is thiefman. up to you morogoro sickman die for nothing.
Duh!hatare..lkn komaa utaweza tu..mwanzo mgum
 
wacha waadhimishe...

Mkuu kupanga ni kuchagua hivi kwa hali ilivyo baada ya hii mvua kuna haja ya kutupa mipesa yote kwenye sherehe. Hebu pita barabara ya uhuru uone mashimo.
 
Budget for unity government why ? I say why. because big bank BOT is next to ikulu. Governorman is presidential appointment. he say give many money we want to eat holiday. you think he agree or refused president. no he give many red of mzimbazi. but thiefman take also. hhe say also fo eat holiday celebration no audit. take yours faster.

kumbe iddi amin dada hajafa
 
WanaJF, Kinachoniuma ni kwamba huku kwetu Morogoro tunakufakwa mafuriko, migogoro kati ya wakulima na wafugaji isiyoisha, njaa, umaskiniwa kupindukia huku wakubwa wakitumia mabilioni ya fedha kuandaa mbwex2 zamuungano leo. Hizo fedha zingetosha kuongeza hata mishahara ya walimuwanaondesha mgomo baridi, au madaktari wanaoteseka bila vifaa vya vituo vyaafya.
My take: mwenye kufahamu estimate za kuendesha hizi mbwex2za muungano aturushie ili tufanye makadirio ya idadi za shule za msingizitakazojengwa na mabilion hizi. Na je katika gharama hizi serikali yamapinduzi ya Zanzibar imechangia % ngapi yah ii bajeti?

Mkuu umeanza vizuri lakini mwisho umechemsha. Ukiuliza znz wamechangia % kwani sherehe za uhuru wa Tanganyika pesa zinatoka wapi? Wakati hakuna gvt ya Tanganyika?
 
unaweza kuhairisha harusi kwa sababu ya msiba wa jirani?
harusi umepanga kwa muda mrf au niseme long term plan.
wakati msiba haubishi hodi. vivyo hivyo hii sherehe ya muungano tena golden jubilee maandalizi hayakuanza last week.
 
serikali ya ccm ni janga la kitaifa

oooh i tell you ccm government is thiefman. unite overment celebration is use how many money. oooh plent money. Muhimbili is sleep european of four . leg this way leg that way no money for bed. but many money for unite celebration. me not want ccm government. Temeke woman give birth sleep four european. not want ccm is bad government.
 
Back
Top Bottom