Katika harusi yangu nilifanya hivi, nilifanya 201O ilikua hivi
1.Budget haikuzidi milioni 4, nyingi zilienda kwenye chakula
2.Sikutoa kadi hata moja ya mchango
2. niliamua iwe casual, kwa hiyo sikuhangaika kutauta profesional MCs, badala ya kuchangisha afu kumlipa MC, tulitengeneza ratiba kisha marafiki zangu wachache, wakasaidia kusema chochote kwa kupokezana.
3. Badala ya kuchanga pesa kukodi magari, tulitumia magari ya friends, niliomba rafiki zangu wengine wachukue maids, mwingine bibi harusi, mwingine mama mkwe..kwa gari zetu hizi hizi za kawaida.
1.Ukumbi=1,000,000
2.Mapambo=1,000,000
3.Vinywaji bia 3@=330,000
4.Chakula plate 12000=600,000
Mc & Music=600,000
Magari-
Wazazi pande zote mbili=300,000
Gari-Maharusi=400,000
Coaster(Waalikwa)=
150,000.
Jumla kuu=4,380,000
Balance=620,000(Dharura)
NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA.
Ushauri mzuri. Kingine Ni gaharama isiyo ya msingi ya keki na mapambo. Weka ndafu hata 2 ama 3, watu watakula nyama na kufurahi. Weka chakula na vinywaji. Wekeza kwenye mziki lakini achana na mc.
Have them elope to some national park somewhere for a couple days.
It probably won't cost you anywhere near that 5 mill.
mpaka kuoa nako mawazo...
Dogo hujambo?
Yeah coz hata wewe unaweza kukunufaisha
mpaka kuoa nako mawazo...
Tena mawazo...jiandae mkuu..!!
Habari za leo wana JF. Mdogo wangu anatarajia kufunga ndoa mwaka huu mwezi wa sita mwishoni. Mimi ndio kaka yake na mimi ndio msimamizi wake. Ninataka nimsaidie aweze kufanya harusi kwa gharama ndogo kwa kadri iwezekanavyo. Idadi ya watu watakao alikwa ni hamsini. Ninataka gharama ya harusi iwe shilingi Milioni Tano. Kwa walio na uzoefu na suala hili, mnadhani kwa bajeti hiyo hapo na kwa idadi hiyo ya watu, inaweza kufanyika sherehe ya harusi ambayo itapendeza? Na je inaweza kutumika chini ya gharama hiyo hapo juu?
Ninaomba maoni na ushauri wenu please.
Kaka mimi nilishawahi kualikwa kwenye harusi ya Ki-Ghana, hawa jamaa wapo simple balaa.
Baada ya ndoa pale kanisani mnakusanyika nje ya kanisa, mnapewa bites na vinywaji halafu mnaachana.
Hakuna complications.