Bajeti ya chupi ni ya dume

labda unakua sio uhusiano kamilifu, ni zile 'kamata nichinje'!
mpenzi kabisa afu anatupia pant huijui na hauna mchango nayo!?
u zoba huo!
Hata uhusiano kamilifu hawatoi huduma.
 
Jiamini mkali wtt wazur ni rahs kuwakontroo

Wa kishua
Kiongozi.

Naona bado hujawafahamu vizuri Walimbwende.

Ukishawafahamu ndipo utakaponielewa.

Walimbwende huwa hawatabiriki hata kidogo
 
Kiongozi.

Naona bado hujawafahamu vizuri Walimbwende.

Ukishawafahamu ndipo utakaponielewa.

Walimbwende huwa hawatabiriki hata kidogo
Okay wacha naendelee kuwasoma

Wa kishua
 
Hadi sasa umeshafikisha kontena ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…