Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,551
- 31,776
Wakuu mimi ni muanga wa hizi gari za kununua mkononi, kutokana na negative experience niliyopitia nimekuwa muoga sana na hizi gari za kununua mikononi!!
Sasa nimejichanga na kufanikiwa kupata 9m, nahitaji gari simple lakini zuri kwa ajiri ya mizunguko ya mjini, je hiyo pesa inatosha kuagiza mpaka kulipia ushuru kwa gari zenye bei kuanzia usd 1500-usd2500 na 1000-1500cc
Natanguliza shukrani!!