Hapo ngoja waje wakongweSamsung ipi mkuu.?
mpya..? kwa hiyo bajeti labda samsung A35 iv used A53 lakini S series used unapata kuanzia 20 mpaka 22 safi tu ...ila samsung simu za hovyo sana...chukua pixel 6 simu ya kiume hiyo,unapata kwa hiyo bajeti!Samsung ipi mkuu.?
Kama ni kwa ajili ya kazi akomae na pixel mkuu anaweza pata 6 pro au 7plain usedChukua Samsung bajeti hiyo unaweza pata
800k unapataInauzwa ngapi..?
Sawa mpe sababuKama ni kwa ajili ya kazi akomae na pixel mkuu anaweza pata 6 pro au 7plain used
Samsung kama hzo a series ndo hamna kitu hata hizo s zenyewe nyingi hazitoboi kwa pixel kuanzia 6 kuendeleampya..? kwa hiyo bajeti labda samsung A35 iv used A53 lakini S series used unapata kuanzia 20 mpaka 22 safi tu ...ila samsung simu za hovyo sana...chukua pixel 6 simu ya kiume hiyo,unapata kwa hiyo bajeti!
umeelewa nilichosema hapo lakini "blaza"!!?Samsung kama hzo a series ndo hamna kitu hata hizo s zenyewe nyingi hazitoboi kwa pixel kuanzia 6 kuendelea
Refurbished hapana usinunue,kununua simu iliyotiwa vidole kwa hela zaidi ya 200K huo ni ufalah aisee.Refurbished ipi..?
Samsung ipi isitoboe kwa Google mkuu kwa hizi S series za kuanzia 21 kuendelea..Samsung kama hzo a series ndo hamna kitu hata hizo s zenyewe nyingi hazitoboi kwa pixel kuanzia 6 kuendelea
Pixel 6 na 7 hazitofautinani sana, it's either spend laki 4 nunua pixel 6 series ama ongeza kidogo mpaka laki 7 tafuta pixel 8 series. Simu kama pixel 8A ni around $250.Wakuu, niko na bajeti hii ya 500,000 hadi 600,000 nahitaji nipate Simu(Google pixel) ya ipi itanifaa..?
Kama una ushauri kwa brand nyingine tofauti na hiyo yenye ubora unaweza kunisanua/kunipa ushauri la isiwe Tecno au infinix
Betri yake ipoje? Inamaliza sikuChukua pixel 7pro ni nzuri mno, ndo natumia