Bajeti kiduchu kwa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti kiduchu kwa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tatanyengo, Jun 17, 2012.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Katika hali ya kusikitisha serikali imetenga kiasi kidogo cha fedha kwa bajeti ya 2012/2013 kwa ajili ya chuo kikuu cha Dodoma. Imebainika kuwa Tsh. 175 million zimetengwa kwa ajili matumizi mengineyo (Other charges) na Tsh. 3.3 billion kwa ajili ya maendeleo (Capital dedelopment). Fedha ya matumizi imebainika kuwa inatosheleza malipo ya umeme na maji kwa mwezi mmjoja tu na fedha ya maendeleo ni kwa ajili ya kumalizia miradi iliyopo tu.

  My take: Serikali ilianzisha mradi huu mkubwa na ikaahidi kuukamilisha ifikapo 2015, sasa unaelekea kukwamia njiani.

  Source:Resolutions of 26th Executive Committee of Council Meeting Held on 11th June, 2012
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Vyuo vinavyoanzishwa kisiasa na kutaka sifa za kijinga ndo haya matokeo yake, wao walidhani kitazaa makada wa ccm na wataendelea kuwanunulia fomu za kugombea urais, UDOM imechukuliwa na M4c tofauti na malengo yao
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa hali si nzuri kabisa
   
 4. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  maendeleo ya kujaribu ujinga
   
Loading...