The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Ndio mapendekezo ya Team kufa kunoga?
Siyo mapendekezo, hicho ndicho kilichomo kwenye akili za mwenyekiti wako wa CCM, Magufuli mtetezi wa wanyonge !!
Ndio mapendekezo ya Team kufa kunoga?
Bajeti hii imewakata mavuvuzela wote Hanna pa kutokeaSiyo mapendekezo, hicho ndicho kilichomo kwenye akili za mwenyekiti wako wa CCM, Magufuli mtetezi wa wanyonge !!
sina uhakika kama huu uamuzi wa serekali umefikiwa baada ya kufanya utafiti.Ukweli kuna unafuu mkubwa mfanio kwangu mimi natumia lita 60 kwa mwezi (TZA 120,000) ina maana road license ni TZS 40 x 60 x12 = 28,800 badala ya TZS 200,000. Hata hivyo napata shida kwani nililipia road license 29/5/2017 ambayo itaisha 28/5/2018 hivyo kwangu mimi imekula.
Kuna uwezekano vile vile wa magari mabovu yaliyopaki muda mrefu kurudi barabarani na hii itaongeza ajali za barabarani.
Wafanyabishara siyo walaji wa mwisho, hizo gharama ni sehemu ya matumizi ya biashara tofauti na mtu binafsi ambaye matumizi yake hatumii kukokotoa faida. Nasisitiza "Indirect tax" haiumi kama "direct tax".sina uhakika kama huu uamuzi wa serekali umefikiwa baada ya kufanya utafiti.
labda for argument's sake, ngoja tudadavue vijihesabu kidogo hapa chini kwa kutumia aina ya magari ambayo yana impact ya moja kwa moja kwa maisha ya Watanzania wengi (yaani yale ya kubeba abiria na yale ya kubebea consumer goods kama vyakula, bidhaa za madukani, nk)...
assume average fuel consumption rate kwa magari ya aina hii = lita 500 kwa wiki
kwa mwaka inakuja 500 x wiki 52 = lita 26,000 kwa mwaka
gharama ya kodi mpya ya sh 40 kwa lita inaleta = 40 x 26,000 = sh 1,040,000 kwa mwaka kwa kila gari
gharama ya juu kabisa ya road license kwa sasa ni sh 250,000 kwa mwaka kwa kila gari
hii ina maana gharama za uendeshaji magari ya abiria na bidhaa muhimu itapanda kwa sh 1,040,000 - 250,000 = sh 790,000 kwa mwaka kwa gari.
je, wenye magari watafidiaje hii gharama itakayoongezeka?
nadhani argument yetu ya kuunga au kupinga replacement ya road license kwa kuanza ku-charge fuel levy iwe kwenye context hiyo hapo juu (note: hiyo assumed figure ya bluu ni muhimu sana kwa mahesabu ya hela).
Bajeti hii imewakata mavuvuzela wote Hanna pa kutokea
Mbona mimi hadi mwaka jana nimelipia Motor vehicle Piki piki yangu shilingi 10000? Ina maana TRA waliniibia?Bora umejisaidia kujibu
Load licence!! Hii itakua ni mpyaCCM iliondoa load licence kwa bodaboda na sasa imerudisha load licence kwenye mafuta wakiwemo na boda boda.
Mkurupuko uliokomaa
Hahaaa kweli kabisa mkuu Lusinde.UKAWA wamekosa hoja ya kukosoa kwenye bajeti hii. Wamebaki kutunga uongo
Mkuu gamba upo?Ufipa
Hata mama yako pia anapendaUnapenda kula eeh?