Bajeti 2009/10: Mishahara Vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti 2009/10: Mishahara Vipi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by KUNANI PALE TGA, Jun 12, 2009.

 1. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #1
  Jun 12, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuluu habari za jioni.

  Nataka niulize tu vipi mishahara kwenye bajeti imeongezwa kwa upande wa serikali au ndio tutaendelea kusota mpaka CHADEMA kishike hatamu?

  Naomba nijibiwe.

  Shukran wa jazila.
   
 2. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wandugu wapendwa nauliza hiviii kwanini mishahara ya Wafanyakazi haiongezwi wakati kuna nyongeza mbalimbali kwenye Bajeti ya 2009/2010?Walio karibu na jikoni mtuelimishe.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kwani ni lazima iongezwe???
   
 4. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  jamani mmeambiwa kuna financial crisis and credit clunch eeeh?
   
 5. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Msubiri mhe. Hawa Ghasia atakapokuwa anatangaza bajeti ya wizara yake hope wataongeza hata kwa 10 %. Ni kawaida kila mwaka lazima mishahara iongezeke. Wakati wa Mkapa ilikuwa inaongezeka kwa asilimia 10 kila mwaka. Hapa katikati wakati wa JK mishahara imeongezeka sana na mwaka jana iliongezeka kwa 23 % na kwa wahadhiri na watafiti mishahara yao imeongezeka zaidi.
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi Naona bora isiongezeke kwani Serikali imeondoa VAT kwenye kodi za pango la nyumba na vile vile imeshusha VAT toka 20% kuwa 18%.


  Sasa wakiongeza mishahara basi kila kitu kitapanda kuanzia pango la nyumba, bidhaa madukani na hata usafiri.
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ni vizuri zaidi wapunguze kodi (Income Tax)
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi alidesign hii PAY AS YOU EARN atakuwa mwehu,hela wanazokatwa wafanyakazi ni nyingi mno hasa wanaoern zaidi ya laki tano kama sikosei unakuta mtu analambwa ela ya kutosha.
  Ukiludi mtaani hospital walipia,hao trafic na police mwenod wa rushwa,shule mtoto bila tuisheni ndo basi.
  Sikatai fungu kubwa wanalokata ila matumizi yake basi yacreate unafuu wa maisha kwa wanaokatwa
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,923
  Likes Received: 2,071
  Trophy Points: 280
  Hii si sahihi. Serikali inakusudia kuanza kutoza VAT kwenye nyumba za kupanga (isipokuwa za NHC na TBA).
   
 10. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Sio lazima, lakini kutokana na Inflation inalazimika kufanya Salary adjustment.
   
Loading...