Bajaji inauzwa milioni 3.6 tu!

Bajaji inauzwa milioni 3.6 tu!

MUJUNI JR

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
23
Reaction score
5
Wakuu,

Nauza Bajaji aina ya TVS KING ambayo namba yake ya usajili imeanza na TCAP.Bajaji inafanya kazi vizuri ipo inasanya kama kawaida na imekatiwa vibali vyote pamoja na bima.Bei ni Tsh 3,600,000/=.

Kwa atakayehitaji arushe PM au apige namba 0763953759.Please serious buyers ONLY.

Karibuni sana Great Thinkers.
 
ina muda gani tangu uinunue?
Inafanya kazi wapi, barabara ya vumbi au lami?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom