Bajaji aina Mpya yawasili Bongo

Bajaji aina Mpya yawasili Bongo

weeeee zile ambyulensi haziko hizi banaaa
kwanza juu kunakuwaje na side mirrors kwani nako kuna dereva?

hiyo cabin ya juu imefanya kupachikwa tu katika photoshop...hakuna uhalisia hapo...
 
Nathani hiyo sehemu ya juu ni mapambo tu!

Sidhani kama ni sehemu ya juu tu, the whole thing ni mapambo. Katika hali ya kawaida, huwezi endesha kitu cha mkao huo kwa ufanisi. Ukinzani wa upepo utasababisha consumption kubwa ya fuel na balance ya chombo itakuwa mashakani vile vile.

Ni kituko tu hicho
 
aku siwezi kupana mie, cha kuvunjikia miguu yangu ni nini? ikija ya watu people power napanda.
 
Back
Top Bottom