Bajaji aina Mpya yawasili Bongo

Bajaji aina Mpya yawasili Bongo

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
44.jpg

Twende nikakupandishe juu snowhite
 
Last edited by a moderator:
mmhhh..................mbona sioni ngazi?!?!?
 
mmhhh..................mbona sioni ngazi?!?!?

Ngazi za kazi gani wakati huko juu mnawatupia watoto wenu ninyi raha starehe mnaendelea na safari yenu hapo chini. Hiyo ni mchuma wa familia. Sasa ukutane na kitoto kitundu mpo safarini kinatoa kichwa nje halafu kinawachungulia kwa chini bye dady! by mummy!
 
photoshop FAIL!! atapandaje juu bila ngazi, mbona hamna kizuizi akianguka jee?
 
Boflo, ukifanya photoshop jaribu kuwa na uhalisia kidogo.
Sasa huko nyuma, ghorofa ya chini, hilo turubai ndilo linabeba uzito wa kibajaji ghorofa?
Sehemu ya chini nyuma haina turubai kama tulizozizoea, angalia vizuri utaona turubai lipo sehemu ya juu tu.
 
Back
Top Bottom