cenzo
Senior Member
- May 7, 2015
- 124
- 28
Habari za leo wandugu wa JF
Leo ningependa tujadili bajaj za Mohamed interprisess
Kwa kweli mimi nampenda sana huyu jamaa Mohamed interprisess kwani kampuni yake haina ubaguzi hata chembe
Yani huyu jamaa kaajili watu tofauti Bila kujali kabila zao wala dini zao tofauti na yule mwingine anaependa watu wa asili ya kwao kisiwani
Ila sasa hebu tujadili kuhusu zile bajaj zake au sijui tuziiteje gari au pikipiki zile za miguu mitatu
Kwakweli zile vitu zina shida sana zipitapo mitaani kwani zina kelele ya ajabu utasema mashine za kusaga nafaka
La pili ni lile bomba lake la kutoa moshi jinsi lilivyoelekezewa chini yani zikipita kwenye hizi barabara zetu utaona vumbi kali sana linatoka
Nina hakika zile vitu hazikutengenezwa kwa kiwango cha kuzingatia barabara zetu zilizojaa vumbi
Mwenye uwelewa zaidi au kukumbana na kizaazaa cha kupishana na zile bajaj aongezee hapa chini