Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,616
- 30,928
- Thread starter
- #21
Asubuhi nimepigwa pasi na kibajaji na kakimbia.Mbona umefurahia hivyo, kwan bajaji hazijawahi kukurahisishia usafiri hapa jijini???
Asubuhi nimepigwa pasi na kibajaji na kakimbia.Mbona umefurahia hivyo, kwan bajaji hazijawahi kukurahisishia usafiri hapa jijini???
Mkuu hii ni mara ya pili.''Hahahaha! Mkuu umeandika kama umewahi kuchomewa gari na watu wa bajaji. Lakini kumbuka bajaji ni kwa ajili ya abiria ambao hawana kosa, kwa hiyo hata kama ikigongwa usifurahie unaweza kukuta ndugu yako ndio aliikodi. Hakuna sehemu inasema Bajaji ikigongwa adhurike dereva wake tu mwenye fujo sio abiria
NdiyoYaani ndounavyohadithiaga hivi
Abiria una wajibu wa kumcontrol dereva wako asiendeshe kihuni barabarani.Usikute kwenye hiyo bajaji palikuwa nandugu/rafiki/mpenz/jirani yako mwisho ukajikuta unafurahia matatizo yako
Mbona kama umefurahi hivi, we ni mchawi?
Yaonyesha hakuna aliyetanguliaRIP wote waliotangulia
Kuna watu hawajaipata kero ya bajajiAsubuhi nimepigwa pasi na kibajaji na kakimbia.
Ndiyo
Ile tabia ya waendesha vibajaja kulazimisha kuingia barabarani njia kuu leo mmoja wao imemtokea puani.
Nikiwa zagu naelekea mujini nikasikia honi kali.
Nikaona kibajaji kimeingia kwa kasi kumblock pick up moja ambayo mwendo wake ulikuwa mkubwa ingawaje si kasi kubwa sana.
Hamadi bajaji hii hapa na kwa honi na kujaribu kukwepa wapi!
Tukasikia kishindo kama mabati elfu yanaanguka.
Kibajaji kika viringika na kuserereka zaidi ya mita kumi na tano maana kilipigwa kisawia haswa!
Alipotoka mtu ndani yabajaji nikasema alhamdulillahi ingalau kuna waliopona.
Dereva wa bajaji kaamua kutembea mwenyewe kwenda mortuary ya karibu kupumzika.Vipi mkubwa marehemu hawajakimbia
Sana....amepona ajari ila Bajaj inayomtia kiburi imekuwa scraper. Hawa jamaa wanaangusha magari mengi tu sababu ya surprise zao barabaraniKWAHIYO umefurahi?
Huwa nahisi mechanism yake ipo kama wale ambao akisikia kitu cha chuma kinakelezwa/ kuburuzwa chini anahisi meno yake kuumia so hatapenda asikie zMkuu, hivi hii kitu imekaaje.... mi naonaga ucheshi tu unaweza kuelezea mekanizimu yake..?
Bajaji wangese sana, kuna siku kama ningekuwa na bastola kweli kiumbe wa mtu angetoweka, gari sina hata week then inakwanguliwa kirahisi tu na bajaji akakimbiaMkuu hii ni mara ya pili.''
Siku nyingine bajaj kani overtake toka kushoto halafu akang'oa bumber langu la mbele kwa zile ngao bajaj wanafunga nyuma.
Niliaani sana.