Bajaj yapigwa kisawasawa maeneo ya Makumbusho.

Bajaj yapigwa kisawasawa maeneo ya Makumbusho.

Bajaji wangese sana, kuna siku kama ningekuwa na bastola kweli kiumbe wa mtu angetoweka, gari sina hata week then inakwanguliwa kirahisi tu na bajaji akakimbia
Pole I see, mimi nina mkasa wa kukwanguliwa bumper la mbele na zile ngao zinazofungwa nyuma ya bajaji.

Bajaji hakusimama na akakimbia.
Nikateremka na kumkibiza, kumbe mbele kakwama kwenye foleni.
Yeye mwenyewe kapotea.
Nikaipiga picha bajaji

Nikiwa raia mwema nikamtafuta trafiki.
Trafiki kufika pale tukakuta sasa hata bajaji imetoweka kabisaa!!!
Nilijisikia mjinga sana!

Nikasalimu amri na kwenda garage kutengeneza gari yangu.

Patamu sasa palikuja tokea.
Nimetoka zangu kanywaji sehemu za Ununio.
Nikaikuta bajaji ileile imepaki sehemu ya burudani.

Kwa hasira nikamkuta na nikamkwida dereva na kumhakikishia kuwa saa hizi usiku ama zake au ama zangu , na nika mwonyesha ile picha kwenye simu.

Kijana alitetemeka sana tu na kujieleza ukweli kuwa day waka aliyempa kuendesha , baada ya jali aliitekeleza bajaji na kutokomea.

Kucheki leseni zote, hola, hakuna kitu.

Mwisho nikaamua kuenda kulala kijana alipoanza kulia.

Huu ni mkasa wa kweli
 
pole I see, mimi nina mkasa wa kukwanguliwa bumper la mbele na zile ngao zinazofungwa nyuma ya bajaji.

Bajaji hakusimama na kakimbia.
Nikateremka na kumkibiza kumbe mbele kakwama kwenye foleni.
Yeye mwenyewe kapotea.
Nikaipiga picha bajaji

Nikiwa rsia mwema nikamtafuta trafiki.
Trafiki kufika palebtukakuta sasa hata bajaji imetoweka!!!
Nilijisikia mjinga sana!
Nikasalimu amri na kwenda garage kutengeneza gari yangu.

Patamu sasa palikuja tokea.
Nimetoka zangu kanywaji sehemu za Ununio.
Nikaikuta bajajiilebile imepakisehemu ya burudani.

Kwa haira nikamkwida dereva na kumhakikishia kuwa saa hizi usiku ama zake au ama zangu na nika mwonyesha ile picha kwenye simu.

Kijana alitetemeka sana tu na kujielezabukweli kuwa day waka aliyempa kuendesha baadayaajali aliitekeleza bajaji na kutokomea.

Kucheki leseni zote, hola, hakuna kitu.

Mwisho nikaamuakuendakulala kijana alipoanza kulia.

Huu ni mkasa wa kweli
Jamaa wa bajaji wajinga sana
 
Back
Top Bottom