. Pia alizungumzia suala la sheria ya uchawi, ambako alitaka Serikali ichukue hatua za haraka kuhusu imani hizi za ushirikina, ambazo sasa zinazidi kwani tayari kuna tetesi kuwa pamoja na albino, pia watu wenye vipara, viganja vyenye alama ya M na akinamama wenye ndevu nao ni mali.
[/COLOR][/SIZE]
Je, wakodishaji wa pikipiki kama taxi watavaa helmets ili kukinga vichwa vyao kama itatokea ajali?
Bajaj, pikipiki ruksa kuwa teksi
]
...na wenye vipara wanunue helmet!Chonde chonde chonde....nina alama ya M nanunua bastola......
Je, wakodishaji wa pikipiki kama taxi watavaa helmets ili kukinga vichwa vyao kama itatokea ajali?
Bajaj, pikipiki ruksa kuwa teksi
Mwandishi Wetu, Dodoma
Daily News; Thursday,January 29, 2009 @21:15
Bunge limepitisha muswada wa Sheria ya Marekebisho katika Sheria mbalimbali wa mwaka 2008 ambao umegusa marekebisho ya sheria 11, ikiwamo ya leseni za usafirishaji ambayo sasa itatoa leseni za usafiri kwa pikipiki za bajaj na pikipiki za kawaida na hivyo kutambulika kisheria.
BAK, hizi helmet ni nzuri kukinga kwa ajali, lakini huoni kutakuwa kuna kuambukizanamagonjwa ya ngozi kichwani?.
Akiwasilisha muswada huo ili usomwe kwa mara ya pili na ya tatu, jana bungeni Dodoma, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, alisema pia sheria hiyo inakataza matumizi ya baiskeli katika maeneo ya mijini na kuruhusu zitumike vijijini chini ya usimamizi wa halmashauri za wilaya.
Mwanyika pia alisema katika sheria ya Mfuko wa Bima ya Afya, sheria hiyo sasa imewaingiza madiwani wote wa kata ambao si wabunge kutibiwa kupitia Mfuko huo, pamoja na watumishi wa umma wastaafu kuendelea kutibiwa nao.
Aidha Cheyo, alisema katika Sheria ya Marekebisho ya Bima ya Afya, aliomba kifungu cha 27, kifanyiwe marekebisho ili madiwani watakaopewa huduma ya tiba kupitia Mfuko huo, wapate huduma hiyo hata pale watakapostaafu.
Naye Mbunge wa Nkasi, Ponsiano Nyami (CCM), alipongeza marekebisho ya sheria ya Mfuko wa Bima ya Afya, lakini pia alipendekeza uangaliwe na uwezekano wa kuwaingiza wabunge katika matibabu hayo. Pia alizungumzia suala la sheria ya uchawi, ambako alitaka Serikali ichukue hatua za haraka kuhusu imani hizi za ushirikina, ambazo sasa zinazidi kwani tayari kuna tetesi kuwa pamoja na albino, pia watu wenye vipara, viganja vyenye alama ya M na akinamama wenye ndevu nao ni ‘mali'.
Je, wakodishaji wa pikipiki kama taxi watavaa helmets ili kukinga vichwa vyao kama itatokea ajali?
[/COLOR][/SIZE]
Nina wasiwasi na matumizi ya pikipiki kwenye miji yenye msongamano mkubwa wa magari kama Dar es Salaaam....matumizi ya pikipiki yataongeza ajali katika miji hiyo...lkn pia yataharibu madhali ya mji.....ngoja tusuburi na tuone...
Nakubaliana nawe kabisa kuhusu Dar. Zikisha kuwa nyingi kupita kiasi na ajali za pikipiki kuongezeka kwa 200% basi watataka kuzipiga marufuku ili zisiwe taxi tena. Tusubiri tuone.