Bajaj na Piki piki za mikopo..

tonono

Member
Apr 11, 2014
12
0
Wana JF tunatoa bajaj na piki piki kwa mkopo wa miaka miwili na kuendelea.
Kwa muajiriwa anaetaka hizo mkopo
1. Awe na kitambulisho cha kupiga kura na ya sehemu anayofanya kazi
2. Barua kutoka kwa muajiri wake kuonesha anafanya kazi sehemu husika
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. Na deposit ya kiasi flani tutakayoelewana
N.K kama na TIN number itakuwa vizuri kuleta

Kwa mfanyabiashara
1. Lesini za biashara anayoifanya
2. Kitambulisho
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. TIN number
5. Deposit ya kuanzia

Kwa yeyote anaehitaji ani PM kwa maelezo zaidi.
 
tunaomba namba za simu ili tujue mnapatikana vipi
 
makato ni kias gani, na mfanyakazi atakatwa katika mshahara wake au atalipa kwa namna kama ya mfanyabiashara..pia deposit ni asilimia ngapi na mpo mkoa gani
 
Makato ni asilimia 15 mpaka 20... malipo utachangua ww utalipa kwa njia gani.. tupo Dar es salaam
 
tunapatikana Dar es Salaam ila hata kama upo Mkoani unafaidika na mkopo huu
 
Pikipiki aina gani na mkulima naweza faidi pia mkopo huo? Na masharti yake yakoje?

Wanatoa Sanlag kibao cha mbuizi kwa shilingi 1700000 ambapo utadeposite 500,000 kwanza hivyo kama ukilipa na riba ya 20% ya 2040000 ambapo kila mwezi utapaswa kupeleka 82000 kwa miezi 24 utakuwa unemaliza deni.
 
Wana JF tunatoa bajaj na piki piki kwa mkopo wa miaka miwili na kuendelea.
Kwa muajiriwa anaetaka hizo mkopo
1. Awe na kitambulisho cha kupiga kura na ya sehemu anayofanya kazi
2. Barua kutoka kwa muajiri wake kuonesha anafanya kazi sehemu husika
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. Na deposit ya kiasi flani tutakayoelewana
N.K kama na TIN number itakuwa vizuri kuleta

Kwa mfanyabiashara
1. Lesini za biashara anayoifanya
2. Kitambulisho
3. Barua ya serikali ya Mtaa
4. TIN number
5. Deposit ya kuanzia

Kwa yeyote anaehitaji ani PM kwa maelezo zaidi.

Mnatoa mikopo kama kampun au vp mana cjaelewa
 
Mimi niko mwanza na ninahitaji huo mkopo wa pikpik kwa hyo nafanyaje?
 
makato yanategemea na aina ya mkopo unakayochukua

Kwanini usiweke details zote hapa? hebu fikiria member 190,000 wote wakupigie kupata maelezo utaweza? fuata advertisement protocol ndugu.
 
kuna kaharufu cha utapeli hapa

mkuu inabidi watu kuwa makini mkopo miaka 2 diposit laki tano people kuweni makini mana watanzania wengi tunashida yapesa watu wakisikia mikopo basi wanavamia mwisho wasiku ayaaaaaaaa
 
Wanatoa Sanlag kibao cha mbuizi kwa shilingi 1700000 ambapo utadeposite 500,000 kwanza hivyo kama ukilipa na riba ya 20% ya 2040000 ambapo kila mwezi utapaswa kupeleka 82000 kwa miezi 24 utakuwa unemaliza deni.

Mkuu, nahitaji moja lakini naomba funguka zaidi ni namna gani nitapata huo mkopo na nikilipa 82000 Mara 24 inazidi 1700000! Na hiyo laki 5 ya dep nikimaliza kulipa deni narudishiwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom