New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,572
Wataalam wa pikipik..kuna pikpik boxer toleo jipya nauliza kama kuna mdau humu ndani kaitumia vp ubora wake..naitaman sana
Weka picha...Wataalam wa pikipik..kuna pikpik boxer toleo jipya nauliza kama kuna mdau humu ndani kaitumia vp ubora wake..naitaman sana





ngoja waje wenye uzoefu na hio k2

Poa poa kiongozMkuu chukua tu hiyo pkpk haina shida, kikubwa zingatia services.
Ni nzuri kwa bodaboda hata matumizi binafsi.
Pia usisahau usafi maana boxer ikiwa safi inapendeza sana