jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,098 Reaction score 437 Dec 6, 2012 #1 Samahan wajumbe ila nlikua naulizia bei ya Bajaj aina ya 4 stroke?iwe used na katika hali nzur na je biashara ya Bajaj inalpa au?
Samahan wajumbe ila nlikua naulizia bei ya Bajaj aina ya 4 stroke?iwe used na katika hali nzur na je biashara ya Bajaj inalpa au?