Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
Kuna baiskeli nimewahi kuiona sehemu flani inakuwa na injini kama pikipiki ingawa unaweza kuendesha kama baiskeli..
Naomba kwa mwenye uelewa juu ya baiskeli hizo anijuze kama ni imara na pia upatikanaji wake kwa Mwanza,
pia bei zake.
natanguliza shukrani...!
Naomba kwa mwenye uelewa juu ya baiskeli hizo anijuze kama ni imara na pia upatikanaji wake kwa Mwanza,
pia bei zake.
natanguliza shukrani...!