Bingohabari wana jamvi,
kuna baiskeli naiuza,ipo kama zile za Azam za kuuzia ice cream, ila hii unaweza kuuzia vitu mbali mbali kama ice cream, juice,barafu,vitafunwa, vitu vya urembo n.k
Bado ni mpya sijaanza kuitumia
Napatikana Dar es salaam
Bei ya kuanzia ni laki nane (800,000) ila inapungua kidogo baada ya maongezi
tuwasiliane kuongea biashara
0653116399
View attachment 440173View attachment 440174View attachment 440175
yah ofcourse ni local but still ni unique in so many ways!! kama Guta ni laki sita na hii nimeanzia laki nane unafikir nitaishusha mpaka sh ngapi? by the way unaihitaji?Design quality ipo too local, na pia haistahili kuuzwa kiasi hicho ingawa umesema bei inapungua...
umeimanisha nini mkuu?Bingo
ndiyoHiyo umeunda mwenyewe..?
hahaha hapana mkuu, ni mpya afu sina pa kuilaza! nimeiweka hapo nje ndo maana nimeifungaMkuu sio ya wizi kweli hii? Mbona umeificha kwenye choose cha uani na nyororo juu.
hii baiskel ni nyepesi, ungeitestMie nidizainia pikipiki ya hivyo,
hizi za pedal nzito sana bana kuendesha
mkuu sasa si unaona ilivotengenezwa ama?Hayo machuma yamebeba uzito wote
sijakuelewa vizuri mkuuInatumia Mota,mafuta au nguvu zako maana Hilo paa utaendesha baiskeli Huku wengine wanakuendeshea kiwanda change kutotoa